MKINGUZI
Member
- Apr 17, 2015
- 40
- 85
Habari zenu ndugu zangu.
Natarajia kufungua workshop kwa ajili ya wood, welding and aluminium works lakini kuna vitu nashindwa kudecide Kama vile brand ya machinery na what tools za kuanza nazo ambazo ni essential kwa pande zote nilizotaja hapo juu.
Naombeni mawazo yenu na guidance katika hili.
Asante in advance.