You tube Premium

You tube Premium

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
5,082
Reaction score
20,806
Wakuu, habari?

Jana baada ya kuweka VPN nikapewa offer na YouTube kuwa na premium, inaonekana ni offer za Samsung Note Series offer ukiwa mashariki ya kati, maana naonekana niko Abu Dhabi.

Baada ya kupewa offer nikalipia mwezi mmoja na free trial ya miezi 2, sasa naomba kujua namna ya kufaidi hii offer, nifanye nini?

Mimi sio mpenzi wa movies ila documentaries, naomba kujua namna hasa ya kufaidi hii offer, mnipe majina ya channels zinazoonyesha documentaries za maisha halisi.

Ahsante.
 
Ukishazima VPN offa features zote zitatoka, huku afrika youtube ni bure huko nje wanalipia.

hata kama una videos uliziweka offline ukishaweka premium lazima zijifiche
 
Ukishazima VPN offa features zote zitatoka, huku afrika youtube ni bure huko nje wanalipia.

hata kama una videos uliziweka offline ukishaweka premium lazima zijifiche
Sio kweli.
Youtube ipo ya free, na premium. Premium ina ad free, listen on background na feature zinginr ambazo huzipati kwa youtube ya kawaida. Sio kwamba afrika youtube ni bure, dunia nzima ni bure.
 
Sio kweli.
Youtube ipo ya free, na premium. Premium ina ad free, listen on background na feature zinginr ambazo huzipati kwa youtube ya kawaida. Sio kwamba afrika youtube ni bure, dunia nzima ni bure.

IMG_3303.PNG

Uwe unaelewa boss

Hizo nyimbo nilizidownload kwa Youtube ya TZ. Ukiweka VPN inakudai premium ili uone
 
View attachment 1614597
Uwe unaelewa boss

Hizo nyimbo nilizidownload kwa Youtube ya TZ. Ukiweka VPN inakudai premium ili uone
We ndo huelewi, kuna content zinatengenezwa kwa ajili ya premium users, sisi wa free hatuzipati. kila sehemu uwa iko ivo. Ukitumia vpn ukaweza kuziona izo content means ni region restricted, lakini huwezi kuzifungua kwa sababu hujalipia, kutumia youtube premium unalipia kwanza. Na hata kama ungekuwa na youtube premium umelipia huwezi kuziona hizo content bila vpn...
 
sasa pale juu ulinubishia nn
 
Haya mtaalam nimekusoma
Ila hoja yangu ilikuwa sio bure afrika.
1. Georestriction (kwa sababu ya copyright) hii haitufaidishi waafrika tu, ila maeneo yote ambayo uploader hajazuia mtaona bure regardless ni africa au la. Na sio afrika ila wanazuia nchi au maeneo moja moja. Kenya wanaweza ona tanzania tusione. Au kenya wakaona kwa kulipia sisi tukaona free.
Hazchem plate

Same content ambayo kwako inataka youtube premium, mie naiona na wote tunatumia vpn mimi nimeweka usa ila wewe probably umeweka nchi ambayo uploader kaizuia kuona free
Screenshot_20201028-124147.jpg
 
Umeilipia Bila kujua jinsi ya kuitumia kwanza?
 
Umeilipia Bila kujua jinsi ya kuitumia kwanza?
Yani sisi ndiyo watu pekee ambao uwa tunafanya move bila plan, mfano kuchukua mkopo bank bila kujua hiyo ela tunaenda kuifanyia nini halfu baadae tunakuja uliza humu tuifanyie nini.
 
Back
Top Bottom