Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Tusaidiane hapo nitawezaje kupata namba hata moja Sina, zimefutika zote hata iliyobaki hakuna
Natalia hata baadhi ya namba, hivi ukiwaomba wa mitandao ya simu unayotumia unapewa au inakuaje?Unataka namba ya nani?
Kufungiwa mitandao ya kijamii hakupotezi namba za simu we nae..simu yako kimeo tu itakua ya kichinaTusaidiane hapo nitawezaje kupata namba hata moja Sina, zimefutika zote hata iliyobaki hakuna
Tusaidiane hapo nitawezaje kupata namba hata moja Sina, zimefutika zote hata iliyobaki hakuna
Kuna mdada mmoja nilisoma nae Primary,alikuwa anaitwa Natalia,sasa sijui ndo huyo?Natalia hata baadhi ya namba, hivi ukiwaomba wa mitandao ya simu unayotumia unapewa au inakuaje?
Mbona yangu ni tecno lkn namba hazijafutika?.Sema Tecno mkuu wenye simu hakuna namba yeyote zilizofutika
Niliformat simu ulikua na makengeza, Sasa namba nilisave on phone memory zikaenda Nazo.Kufungiwa mitandao ya kijamii hakupotezi namba za simu we nae..simu yako kimeo tu itakua ya kichina
Hata sijui, ni automaticUmewezaje kufika hapo ulipo uka post
Au ndio nyie wa vpnHata sijui, ni automatic