Wakuu habarini,
Niko na hii simu aina ya Sony Ericson ilitoka Germany, sasa noma ni kwamba network yake iko locked kwa line za huko Ujerumani.
Kunaeza kua na yeyote mwenye idea ya jinsi ya...
Waungwana pole na majukumu.
Kwanza nitoe pongezi kwa wana tech kwani mmekuwa msaada mkubwa sana kwangu maana pale ninapo pata changamoto na kuja hapa tatizo langu huwa linaisha kwa muda mfupi...
Wakuu ningependa kujua Cloud Storage ya bure na yenye at least GB 30 capacity inayohusisha mfumo wa android, kama unaifahamu yoyote tusaidiane kufahamishana [emoji120]
Nina pc yangu Dell yenye sifa hizi. Processor ni Intel (R) Celeron (R)N4000 CPU @1.1 GHZ (2CPUS) - 1.1 GHZ
RAM 8 GB.
Before nlikuwa naweza i connect simu yangu wirelessly ikawa ina display...
Habari za muda huu. Man u poleni,
Nina samsung a20 plane inasumbua sana mtandao internet speed yake iko chini sana anaefahamu tatizo naomba anifahamishe.
Asante.
Habari ndugu wataalamu.
Mwaka jana katika pitapita zangu nilifanikia kudownlod application ya kielimu katika simu yangu, hiyo application ilikua na video mbali mbali za masomo ya shule ya...
Mimi si mzuri kwenye matumizi ya hizi gadgets nk. Nina modem na inafanya vizuri tu, nimeambiwa inaweza kutumiwa (internet) na device nyingine wakati natumia kwenye PC yangu. Naomba kuelekezwa...
Ebana habari zenu wakuu, mm natumia reviever ya Media Star 10000 ferrari, sasa naona kuna hili jambo la ku install free Iptv linanisumbua sana. So kama kuna maujuzi basi tusaidiane wakuu.
Nina azam tv imetumika kama miezi 7. Juzi imeanza no signal check if the wire has been connected.
Nikamuita fundi ni me google mafundi azam mtandaoni akaja fundi kahangaika baadae akapata akili...
Nimeinstall hii app kwenye simu yangu lakini nashangaa inagoma kutuma sms lakini ikitumwa kwangu inaingia vizuri kabisa
Kwa anaetumia hii app anielekeze jinsi ya kutumia pls
Wana JF naomba mwenye kujua.
Je, kuna uwezekano wa ''kuifungua'' iphone ambayo inayohitaji activation lock?
Jamaa amesahau Apple ID yake na password kwani hajatumia simu kwa muda mrefu sana...
Jamani naomba kuhuliza hivi
Hawa ambao wanapata views nyingi youtube wanatumia jia gani kupata views ao kabisa
Au ni njia gani ambayo ninaweza kutumia hili video yangu ipate views wengi nina...
Wengi tumezoea kuwachukulia hawa Jamaa wa Silcon valley kila wanachokisema ndio Uhalisia. Kumbe kuna mengi hatuyajui.
Unakuta mtu anaimba tu "I wanna be the next Zuck" lakini je tunajua ya nyuma...
Habari za Jumatatu wakuu!
Je kuna mtu yeyote humu ndani anayeweza kutengeneza hizo animations au hata mwenye uelewa wowote kuhusu hii kitu?
Nahitaji ushauri au mawazo yenu katika hiki kitu, je...
Pata hosting kwa Tsh 110,000\= tu ,Hii ikiwa na mambo yafuatayo unayapata kama offer
1)1GB mysql space ,40GB bandwidth.
2) Free domain .tz
3) Free SSL
Please tucheki WhatsApp 0687 535650
Wakuu kuna movies kwenye PC zilifutwa permanent na mtu ambaye bado sijambain.
Naomba msaada wa link ya software nzur inayoweza kuzirecover. Ikiwezekana nielekezwe na namna ya kuitumia...
Mtu tajiri zaidi juu ya uso wa Dunia kwa paper assets mzaliwa wa Africa mwenye uraia wa Marekani ametangaza kuwa tayari kuinunua kampuni ya twitter kwa gharama ya $54 kwa kila hisa.
Ikumbukwe...