Hivi inawezekana kuview Browsers kuingia kwenye Browsers mbili kwenye PC mfano Google na FireFox bila zenyewe kuonekana kwenye Screen kwa pale Chini?
Yani I mean inawekana mtu kuview Browser...
Wakuu habari za Jioni?
Nina simu ya Sumsung S8+ huwa inakawaida ya kuzima mziki baada ya light ya desplay kuwa out (off). Au hata ikiwa connected kwenye blottooth.
Natanguliza shukran.
Habari JF,
Ninatumia simu tajwa hapo juu, shida ni kwamba ina ji-restart lakini bettery hearth maximum capacity 100% ukichaji fasta inajaa mapema na kuisha ni fasta.
Hapa shida ni nini?
List hii ya simu 10 bora kwa camera ni kwa mujibu wa DXOMARK.
Bila ya kupoteza muda tuanze na namba 1
HUAWEI MATE 40 PRO
Huawei Mate 40 Pro is officially announced on October 22, 2020.
The...
Habari naweza tumia internal HDD ya laptop kwenye desktop kama extenal HDD?
Nina dell optilex 7020 core i7 je naweza kuongeza internal HDD 2TB na isilete shida maana nimesikia hdd kubwa zinaua cpu
Naomba kujua Kuna tofauti ya ulaji wa unit Kwa mita za zamani na mpya za rea?nazungumzia matumizi ya unit kwisha ni sawa.kwamba zote mbili nimeeka unit 5 matumizi ni sawa.uishaji unalingana?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimebahatika kuona nyuzi mbalimbali zikiponda simu zinazotumia chipset za MTK na wakisifia simu zinazotumia chipset za snapdragon au Qualcomm
Naomba mnijuze...
katika C, ni ipi njia halali ya kuangazia jumla-kama printf ambayo itachapisha tu wakati alama ya DEBUG imefafanuliwa?
#ifdef DEBUG
#define DEBUG_PRINT(???) ???
#else
#define DEBUG_PRINT(???) ...
US Democrats have urged the FTC (Federal Trade Commission) to crack down on deceptive practices in the Virtual Private Network (VPN) industry, The Verge has reported. In an open letter, Rep. Anna...
Wandugu nilikuwa natumia Samsung yangu kama hotspot bila shida. Tatizo lilitokea baada ya ku update software ya Samsung.
Sasa kila nikijaribu kufanya connection, napata error kwenye laptop kuwa...
Kwanza nianze kwa kuweka wazi tu mimi sijasomea kompyuta kabisa wala sina ujuzi wowote maalumu wa hiyo kitu (hata introduction)
Pamoja na hayo, nimekuwa na interest nayo sana kompyuta kiasi...
Kwasababu ya muda ambao watu hutumia mtandaoni, ni muhimu kuelewa uhusiano kati ya Afya ya Akili na Teknolojia, kwani mbalimbali Tafiti zinaonesha matumizi ya Intaneti kupita kiasi yana madhara...
simu yangu kunaa baadhi ya text haisomi inaaleta alama hizi,nimejaribu ku updade lakini tatizo bado ni lilelile,nifanyeje
Simu samsung galaxy j7 prime.
(NB: UKITUMIA DAKIKA 7 KUTULIA NA KUSOMA NAKALA HII MPAKA MWISHO, UTAKUWA UMEONDOKA NA JAMBO KUBWA SANA LA KUBADILI BIASHARA YAKO MTANDAONI)
Moja ya sababu kubwa website nyingi za biashara...
Binafsi mara kwa mara huwa napenda kutumia laprop kitandani, sasa unakuta latptop inakuwa yamoto si mchezo kwenye upande wa feni na hii huwa naona kabisa ni tatizo kwa laptop.
Tunawezaje kutatua...