Msaada kuhusu hii Excel

Msaada kuhusu hii Excel

hata mimi

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
1,356
Reaction score
1,448
Kwanza nianze kwa kuweka wazi tu mimi sijasomea kompyuta kabisa wala sina ujuzi wowote maalumu wa hiyo kitu (hata introduction)

Pamoja na hayo, nimekuwa na interest nayo sana kompyuta kiasi kwamba hapa nilipo wananiaminia kwenye maswala hayo wakidhani labda mimi ni mtaalamu (kuhusu simu na kompyuta)

Sasa juzi kuna template nimerushiwa kwenye WhatsApp niingize data fulani kila nikitaka kuedit kwa simu haitaki inasema sheet is protected basi nikampigia mtumaji anipe password akasema hakuna password kuna wenzangu wengine imekubali kwenye vifaa vyao wanapiga kazi.

Nikahangaika hapo wee mara ikakubali kuedit lakini inakuwa inaficha huoni ile sehemu mpaka ukishajaza ndo una uwezo wa kuchungulia (kiufupi utaedit kwa kuingiza taarifa zako hizo ila kwa tabu sana-hupewi uwanja mpana wa kuona unachoshughulika nacho)

Nikasema labda nitumie pc nayo ndo kabisa ikakataa pamoja na kufuata maelekezo yake inayodisplay.

Mpaka hapo nikacomfirm nimekwama kwahiyo naombeni msaada!

IMG-20220615-WA0015.jpg
 
Wakati mwingine yule aliyekutumia template anaweza akawa ameprotect baadhi ya cells ili zisiwe edited na kuacha baadhi kwa ajili ya kuedit.

Hilo linafanyika sana kwenye templates ambazo zitakuwa uoloaded baadaye kwenye mfumo
 
Okay... kwahiyo hapo hakuna maujanja mengine?
 
Hapana

iPest kwenye PC then nenda kama una isave upya kwenye PC yako...wkt wa kupest chagua kwanza pale chini 1992-2003 sikumbuki, then save kwenye location nyingine sio kwenye 'My doc au desktop', au 'drive nyingine noo' tafuta sehem ingine kabisa.

Save as then ussiipe Jina tumia Jina hilohilo.. then save..

Ifungue halafu tuendelee
 
Katika new excel ya sasa kama ukitumiwa na mtu na imeshafanyiwa kazi , ni lazima uklick permission ya kuedit ili uweze kuongeza taarifa au kuisave kwenye kifaa na/au kuifungua ili uweze kuifanyia kazi....
Au kama iko protected, akutumie na password ya ili uweze aidha kuifungua au kudadilisha kwa kuingiza taarifa mpya...
 
Hapana

Past kwenye PC then nenda kama una isave upywa kwenye PC yako...wkt wa kupast chagua kwanza pale chini 1993-2003 sikumbuki, then save kwenye location nyingine sio my doc au desktop, au drive nyingine noo tafuta sehem ingine kabisa.

Save as then ussiipe Jina tumia Jina hilohilo.. then save..

Ifungue halafu tuendelee
Asante mbabe wa excel [emoji23]
 
Ilikubali?? Maana ndio lengo... tatizo hauleti feedback, Mkuu[emoji28]
Ilikubali boss... japo ni nyingine tu na tatizo lingine ila nikajaribu hatua ulizoelekeza ikakaa sawa, ile ya kwanza ndo ilipita hivihivi unajua mambo mengi tukiuliza mpaka kupata majibu muda nao unakuwa umepita kwahiyo tunaweka kumbukumbu tu kwajili ya siku nyingine kwa tatizo kama hilo
 
Swali lake aliweke vzr tu itasaidia kusolve.

Napenda Sana Excel..na napenda maeneo magumu magumu. Kuna the magic of Excel, haisaidii sana
Mimi nataka kutengebeza Data entry form ambayo itanisaidia kuingiza data kwenye excel sheet kirahisi, kuna mtu alinishauri nitumie VBA ndio inaweza sasa sijui hata nianzie wapi, kama kuna mtaalamu humu anaweza nisaidia hiyo VBA kwenye excel
 
Ilikubali boss... japo ni nyingine tu na tatizo lingine ila nikajaribu hatua ulizoelekeza ikakaa sawa, ile ya kwanza ndo ilipita hivihivi unajua mambo mengi tukiuliza mpaka kupata majibu muda nao unakuwa umepita kwahiyo tunaweka kumbukumbu tu kwajili ya siku nyingine kwa tatizo kama hilo

Mimi nataka kutengebeza Data entry form ambayo itanisaidia kuingiza data kwenye excel sheet kirahisi, kuna mtu alinishauri nitumie VBA ndio inaweza sasa sijui hata nianzie wapi, kama kuna mtaalamu humu anaweza nisaidia hiyo VBA kwenye excel
Ndgu hii VBA ni advance kidg(visual basic for application) inakubidi upate darasa..humu humu utapitia hizi tutorial.

Lkn pia unaweza ukaingia hapa nenda kwenye control panel> chagua program, then program and features> then Microsoft office in the programs(office program yako) change.

Screenshot_20220623-193727.jpg

Ukilenga kuweka BVA
 
Ndgu hii VBA ni advance kidg(visual basic for application) inakubidi upate darasa..humu humu utapitia hizi tutorial.

Lkn pia unaweza ukaingia hapa nenda kwenye control panel> chagua program, then program and features> then Microsoft office in the programs(office program yako) change.

View attachment 2269897
Ukilenga kuweka BVA
OK! Ahsante kwa msaada vp lakini unaweza kunipa msaada personal nikawa nakupigia simu kwa ajili ya maelekezo maana kunahitaji kutulia
 
OK! Ahsante kwa msaada vp lakini unaweza kunipa msaada personal nikawa nakupigia simu kwa ajili ya maelekezo maana kunahitaji kutulia
Mimi kama mimi ningekushauri ujifunze C# kwani ni rahisi na utakuwa na uwanja mpana wa kufanya kazi. Ni ushauri tu kwani sijui kwanini umeamua kwenda kwa VBA
 
Mimi kama mimi ningekushauri ujifunze C# kwani ni rahisi na utakuwa na uwanja mpana wa kufanya kazi. Ni ushauri tu kwani sijui kwanini umeamua kwenda kwa VBA
Nimeamua VBA kwa sababu nipo kwenye ofisi ambayo kazi zetu zote tunatumia Excel so kuna kazi zinakua ngumu kufanya kwenye excel so ukiweka VBA inarahisisha kidogo
 
Back
Top Bottom