Habari wataalamu
Naomba ushauri, nina plan ya kununua TV mpya ambayo SIO oled au qled...Iwe Smart na iwe na 4K UHDTV capable.
Nimekutana na hizo options mbili za Samsung ya inch 55 4k uhdtv na...
Nina startup natafuta watu wanaojua ku-calculate molecular mechanics kwa kutumia LAMMPS, thermodynamics na Quantum mechanics lengo ni ku-analyze protein ili kujua quantitative functions at...
Habari za Muda huu
Kwa wataalamu naombeni msaada Redio ya gari Ina frequency 76-90. Nitaweka kubadili frequency zisome 88-107 au njia mbadala nipate frequency za kibongo.
Wana tech Salam..
Nimekuwa nikipokea maoni mbalimbali juu ya mambo haya ya IT kuwa vijana wanaotoka udom wapo vizuri Sana kwenye nyanja hii.
Juzi nilikuwa na rafiki angu mmoja kutoka crdb makao...
Ni aina ya hisense inakula unit 113 kwa mwaka. Waranty mwaka mmoja. Bei 400,000.
Ni yale madogo tu nahitaji kwajili ya matumizi ya geto.
Sasa nimeona kabla ya kulinunua nije nichukue kwanza...
Natafuta hyo DISPLAY CABLE ya Lenovo
Msaada pakuipata
Nipo moshi nimezunguka bila mafanikio
...
Hii laptop inawaka ila haisomi HARD DISK.. naombeni ushauri wana JF
Habari wakuu, straight to the topic,
Mimi ninatumia king'amuzi kimoja cha Azam sasa soon nataka ku-uprade TV ya sitting room niweke kubwa zaidi halafu iliyopo niiweke chumbani kwangu.
Sitaki...
Miaka 12 iliyopita nikiwa nakaribia maliza chuo nlinunua vifaa kadhaa vya kuniwezesha kufanya final graduate project, pia kuanzisha electronics lab nyumbani.
Mipango ilikuwa mingi na ndoto...
Je, zinafanya kazi baada ya kuchomeka ATM CARD Au muda wowote zinafanya kazi?
Sina nia mbaya kuna rafiki yangu aliingia ATM akakuta hela mtu alitoa lakini ilichelewa hadi huyo mtu akaondika sasa...
Habari zenu wakuu,
Nina tatizo la network hapa nyumbani kwangu maeneo ya sebleni kwangu na chumbani kwangu ambako ndiko natumia internet.
Sasa kuna sehemu ya nje ni kama kibanda kisicho na...
Habari za wakati huu ndugu wanajamvi pendwa la Technology.
Mimi ni Mtu ambaye napenda sana kuandika na kusoma mambo mbali mbali hada mtandaoni. Nikiwa chuo mwaka wa Kwanza 2013, wakati nafundishwa...
Katika kujitutumua na vikwazo vya USA Huawei walikuja na Os Yao ya Harmony Kwa ajili ya simu.
Huawei waliisifia OS Yao kuwa iko fasta kuliko android na baadhi ya wachambuzi waliona OS ya Huawei...
Kampuni kubwa ya Kijapani HITACHI imetengeneza chip ndogo kabisa na nyembamba Zaidi aina ya Radio Frequency Identification (RFID) iliyopewa jina la utani "Poda" au "Vumbi". Ina size ya milimita...
Habari za asubuhi wadau kuna shida imejitokeza baada ya kuweka gcam 8.2 kwenye Xiaomi Redmi 10c kila nikipiga picha zinatoka zikowa na rangi ya kijani
Nawezaje kusolve tatizo hili
CC.Chief...
TAFADHALI ZINGATIA MADA HUSIKA NA UWEKE PICHA SAHIHI
Natamani kuona home screens za simu za member wa JF zinaonekanaje.Una manage vipi home screen ya sim yako?unapangaje vitu au unaweka weka apps...