Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau Wa Blogger...Tufunguke Tumwagike hapa..Kati ya Adsense na Adsterra wapi kuzuri kwenye Kuvuna Mkwanja.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Question Question
Naombeni msaada jinsi ya kuondoa logo kwenye video, nilijaribu kutumia logo remover lkn bado sielewi vizuri. Msaada kwa wataalamu jamani
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Sijajua kama ni kwangu tu au ni vp, Nimezoea spidi ya 1MB kwa sekunde ila hapa kwa sasa jana na leo spidi ya kudownload imeshuka kwenda 60KB kwa sekunde, Nimezima updates. Bando linalotumika ni...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habarini? Jamani nimepoteza charger ya Xiaome redme note ten pro(fast charger) Kwa yeyote aliyenayo naomba anicheck, nahitaji Kwa haraka, maana charger za kawaida zinasumbua.
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Habarini. nawezaje ku connect web application na mysql database ili user anapo input taarifa zake mfano za registration ziende moja kwa moja mpaka kwenye database. hapa tayari nimecreate web app...
0 Reactions
3 Replies
874 Views
Oya wakuu naomba msaada site gani naweza pata html tutorial kali, pia tutorial za CSS ambazo sitajuta kuzitumia
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu habari. Naomba kufahamu ubora wa TV Hisense brand. TV yangu ya Samsung imeharibika sasa nimekutana na mtu ananiambia kuna hizi Hisense brand wana offer ya black friday sales, akanipa offer...
5 Reactions
107 Replies
32K Views
Wakuu Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano Tanzania. Twende kwenye mada wakuu nilikua naomba kujuzwa tofauti ya 2.4GHz WLAN na 5GHz WLAN na kazi zake kwa matumizi ya Wi-Fi maofisini na...
0 Reactions
3 Replies
828 Views
Kutoka kwa page ya Tech Advisor hizi ndio simu bora zaidi kwa mwaka 2022 1. iPhone 13 pro (iPhone bora zaidi) $999 at Amazon PROS Ina display yenye 120Hz refresh rate Ina kamera kali sana Ina...
11 Reactions
57 Replies
31K Views
Construction of the US$650 million Seacom undersea fibre-optic cable is well underway. The cable will link the continent with the rest of the world to bring down connectivity costs. A release...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba msaada oppo yangu a57 ina chinnes rom nahitaji kuweka global rom, nipatieni maelekezo zaidi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina TV yangu kampuni ya PHILIPS imegoma kuwaka toka juzi inawaka taa nyekundu tu, nilijua kutotumia remote nikaenda kununua lakini wapi haiwaki. naombeni msaada Kwa anayejua fundi wa hizi TV, Sio...
1 Reactions
23 Replies
11K Views
Habari wakuu, Nina SIMU yangu infinix smart 2 haipigi Wala kuingiza call yan(outgoing and incoming call disabled) lakin Kila kitu fresh meseji internet nmejaribu kufanya setting za call inanambia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nipo dar nataka note 10+, ila nawaza haya maduka yetu ya kariakoo ntapata iliyonyooka kweli? Pia nafikiria kuagiza kutoka south korea kupitia ebay kuke nimeona zinauzwa dola 380, ila wasiwasi...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ninataka kununua simu aina ya realme c35 nimeona ina muundo poa,nianachoomba kujua vp ubora wake!?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Naomba msaada wa kupata scrapper ya email from list of urls. UPDATES UPDATES UPDATEs Nishapata solution, asante kwa muda wenu.
0 Reactions
0 Replies
435 Views
Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ? Karibuni sana
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Serikali duniani kote zinakabiliwa na madai ya kutisha kwamba zilitumia programu hasidi iliyotengenezwa na Israel kwaajili ya kupeleleza simu za wanaharakati, waandishi wa habari, wasimamizi wa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu, wana JamiiForums leo ningependa kuwasogezea habari hii kuhusu project inayoendelea ya tajiri namba moja duniani ambaye pia ndiye mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Tesla, Mr. Elon Musk...
4 Reactions
9 Replies
925 Views
Unajua kwanini nakuambia ukanunue Infinix zero x pro ? Kama wewe ni mzee wa picha picha nazani utakua na shauku ya kujua kilichopo ndani yake. Kampuni ya Infinix iliachia simu mpya aina ya...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…