Realme c35

Realme c35

bwii

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2014
Posts
1,432
Reaction score
2,679
Ninataka kununua simu aina ya realme c35 nimeona ina muundo poa,nianachoomba kujua vp ubora wake!?
 
.
images.jpg
 
Unisoc T616, Equivalent ya Helio G80 na haina utofauti na Samsung A03.

Inategemea unaipata Bei gani mkuu, ila zipo simu za 280,000 zenye specs za Realme c35 mtaani.
 
nashukuru mkuu
 
So chief kwa budget ya 500k simu gani nzur naweza kupata
 
Redmi note 11 mkuu, kama una uwezo chukulia kenya hio budget unapata 128GB version na change inabaki. Otherwise angalia Tigoshop.
 
nimekupata mkuu,ningependelea kenya sema sema sina connection ya kenya
 
Back
Top Bottom