Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,296
- 2,632
Unajua kwanini nakuambia ukanunue Infinix zero x pro ? Kama wewe ni mzee wa picha picha nazani utakua na shauku ya kujua kilichopo ndani yake.
Kampuni ya Infinix iliachia simu mpya aina ya Infinix zero x pro September 17 2021 ikiwa na [emoji116]
Specs:[emoji3514]
[emoji117] 6.67 " FHD + panaroma + 120hz
[emoji117] 700nit , AMOLED + Mediatek Helio G95
[emoji117] 8GB RAM + 128 mpaka 256 storage
[emoji117] 4500 mah + 45w fast charging
[emoji117] 108 Mp + 60x periscope moonshot
[emoji117] 16mp selfie + 4k@30fps 1080p
[emoji765]341 mpaka 431 dollar
NDANI YA BOX [emoji320]
Infinix sasa wamefanikiwa kuwa washindani wa Redmi note 10 pro pamoja na Poco x3 pro, kwani muundo wake uko poa sana kamera nzuri yenye kupiga picha kwa ubora mzuri uwezo wa kuvuta kitu toka mbali na kukiona kwa ukaribu bila ukungu ukungu.
Nilichokipendea zaidi ni uwezo wa kuongeza Ram ikiwa unataka kuipa nguvu simu yako basi Infinix zero x pro wanakupa uwezo wa kuongeza Gb 3 za ram ili kuifanya simu yako iwe na Kasi zaidi Itakufanya utumie simu bila Tatizo lolote!!!
Shida ya kampuni ya Infinix ni kuja na app nyingi ambazo hazina umuhimu ni Kama mapambo, japo ndo tatizo la simu nyingi za android.
Alafu kuna changamoto ya kutona vizuri ukiwa Kwenye maeneo yenye jua Kali simu nyingi [emoji17] yani mpaka Kwenye eneo la kivuli ila kwa hii hiko poa sana wameweza kuondoa hizo changamoto
Kama wewe unapenda game na kupiga picha sana basi tumia hii simu hiko poa sana.
Overall rate ni 7 /10 [emoji85] @infinixmobiletz
Tuachie maoni yako unampango wa kumiliki simu kutoka kampuni ya Infinix ata siku moja [emoji2788] ?