Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu! Email yangu imekuwa haifunguki inaishia kuload tu sijajua shida nin na naimaliza vipi. Msaada
0 Reactions
3 Replies
614 Views
Naombeni msaada mtu anieleze jinsi ya kufanya bishara ya kuuza ps4 na ps5 digital games bila kujailbreak
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku hizi kuna hizi simu za mitumba wenyewewe wanakwambia used from Korea Dubai etc sometimes unaenda dukan unakuta IPO full boxed lakini ni refurbished Sasa wajuzi tupeni mautalaam namna ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza kabisa naomba nitahadhalishe kuwa mimi sio expert wa hii kitu ila nahakika walau mtapata mawili au matatu lakini pia naamini wataalam zaidi watakuja kufafanua na pengine kujibu maswali. Ni...
20 Reactions
240 Replies
97K Views
Habarini Ndugu wana jf, mimi nina solar watt 100 betri N70 dry cell ambazo nazitumia kwenye tv na kuwasha taa kama 5 tu tatizo linalofanya nijekuomba ushauri kwenu ni kwamba nyakati za usiku...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Hi! JF members Naombeni msaada kwa wenye uelewa wa solar panel nzuri yenye uwezo wa kuwasha tv inchi 32 Naomba nisaidiwe brand nzuri na ni watt ngapi? Betri N ngapi na hiyo tv inchi 32 pamoja...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wandugu nawasalimu sana na poleni na pilika za hapa na pale. Nilinunua Inverter ya wati 3000 used ya Taiwan miaka miwili iliyopita na sasa ninahamia maeneo yasiyo na umeme wa grid hapa Dodoma...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Msaada Wanablogger Wenzangu kwa Anayefahamu Jinsi ya kuseti Matangazo ya Adsense Katikati Ya Post
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Wadau Wa Blogger...Tufunguke Tumwagike hapa..Kati ya Adsense na Adsterra wapi kuzuri kwenye Kuvuna Mkwanja.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Question Question
Naombeni msaada jinsi ya kuondoa logo kwenye video, nilijaribu kutumia logo remover lkn bado sielewi vizuri. Msaada kwa wataalamu jamani
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Sijajua kama ni kwangu tu au ni vp, Nimezoea spidi ya 1MB kwa sekunde ila hapa kwa sasa jana na leo spidi ya kudownload imeshuka kwenda 60KB kwa sekunde, Nimezima updates. Bando linalotumika ni...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habarini? Jamani nimepoteza charger ya Xiaome redme note ten pro(fast charger) Kwa yeyote aliyenayo naomba anicheck, nahitaji Kwa haraka, maana charger za kawaida zinasumbua.
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Habarini. nawezaje ku connect web application na mysql database ili user anapo input taarifa zake mfano za registration ziende moja kwa moja mpaka kwenye database. hapa tayari nimecreate web app...
0 Reactions
3 Replies
874 Views
Oya wakuu naomba msaada site gani naweza pata html tutorial kali, pia tutorial za CSS ambazo sitajuta kuzitumia
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu habari. Naomba kufahamu ubora wa TV Hisense brand. TV yangu ya Samsung imeharibika sasa nimekutana na mtu ananiambia kuna hizi Hisense brand wana offer ya black friday sales, akanipa offer...
5 Reactions
107 Replies
32K Views
Wakuu Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano Tanzania. Twende kwenye mada wakuu nilikua naomba kujuzwa tofauti ya 2.4GHz WLAN na 5GHz WLAN na kazi zake kwa matumizi ya Wi-Fi maofisini na...
0 Reactions
3 Replies
828 Views
Kutoka kwa page ya Tech Advisor hizi ndio simu bora zaidi kwa mwaka 2022 1. iPhone 13 pro (iPhone bora zaidi) $999 at Amazon PROS Ina display yenye 120Hz refresh rate Ina kamera kali sana Ina...
11 Reactions
57 Replies
31K Views
Construction of the US$650 million Seacom undersea fibre-optic cable is well underway. The cable will link the continent with the rest of the world to bring down connectivity costs. A release...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba msaada oppo yangu a57 ina chinnes rom nahitaji kuweka global rom, nipatieni maelekezo zaidi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina TV yangu kampuni ya PHILIPS imegoma kuwaka toka juzi inawaka taa nyekundu tu, nilijua kutotumia remote nikaenda kununua lakini wapi haiwaki. naombeni msaada Kwa anayejua fundi wa hizi TV, Sio...
1 Reactions
23 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…