Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mwisho rasmi wa windows 10 ni 14 October 2025 (itaendelea kuwepo kwa matoleo machache maalum) Vigezo vikuu rasmi vya windows 11 ni Intel Core 8th Generation UEFI TPM 2.0 Pc nyingi sana hapa...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Wakuu, Nasoma comments na nitashukuru sana kwa ushauri wenu JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI CHUO CHA MAFUNZO YA...
8 Reactions
84 Replies
4K Views
Naomba anaejua wapi naweza pata printer ya Epson inayoprint A2 anijulishe
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu... nawaza niongeze printer ili process ya input na output ikamilike, naomba mnijuze ni ipi brand nzuri ya printer kwaajili ya matumizi madogo ya nyumbani.
3 Reactions
57 Replies
3K Views
Kitengo cha huduma za mtandaoni cha Amazon, Amazon Web Services (AWS) kimekumbwa na hitilafu na kusababisha changamoto ya upatikanaji wa huduma kwa makampuni mbambali duniani. Huduma zilizopata...
0 Reactions
4 Replies
228 Views
Kama uzi unavyojieleza ni kuwa nina ps4 slim yangu mpya ya kutoka china sasa kuna siku nimeamua ni sign in kwenye account yangu ya marekani sasa cha ajabu kila nikisign in inaandika "cannot use...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
  • Featured
Ni wazi kuwa matumizi ya mtandao yameminywa sana Tanzania kwa sababu za kisiasa zinazowekwa kwenye mtazamo wa kiusalamaua na kimaadili, tumefikia kipindi mtu anahitaji kutafuta mbinu za kuweza...
36 Reactions
29 Replies
2K Views
Hii PC mwenyewe anasema ghafla tu ilizima. Nikiwasha inalizimisha kufanya Auto repair. Inakaa hivyo kwa zaidi ya masaa 12. Nimejaribu kureset, kufanya system restore, kufanya new installation...
1 Reactions
2 Replies
215 Views
Habari zenu wana JF, hivi karibuni nimeshuhudia poromosheni kubwa ya simu za kampuni ya oppo hasa zile za A series, unakuta internal storage 128, RAM 6, Qualcomm and octa core processor, ambapo...
10 Reactions
118 Replies
30K Views
Binafsi sijajua tofauti yake maana naonaga zote kama ni sawa maana ukiingia goole unapata na ukiingia crome unapata. Je, kuna tofauti nyingine?
3 Reactions
24 Replies
890 Views
Kamusi ya Kiingereza kwa kiswahili inapatikana play store. Inaonesha pia namna ya kutamka maneno https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.co.wadau.dictionary Sent using Jamii Forums...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
WhatsApp API ni Application Programming Interface ya WhatsApp, ambayo inayotumika kuunganisha WhatsApp na mifumo mingine ya biashara, kama vile chatbot, CRM (Customer Relationship Management...
1 Reactions
2 Replies
455 Views
Katika miezi ya karibuni, Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua hatua za kusitisha au kudhibiti upatikanaji wa baadhi ya mitandao ya kijamii kama Telegram na X (zamani Twitter) hususan nyakati...
1 Reactions
4 Replies
647 Views
https://youtu.be/9rYniFAxL0M Inasikitisha sana, NOKIA nini kimemsibu.
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Yo, wadau wa tech! Social media imekuwa kama nguvu kubwa kwa ukuaji wa tech ecosystem hapa Tanzania, na leo tunaangalia jinsi platforms kama JamiiForums, X, Instagram, LinkedIn, WhatsApp, YouTube...
0 Reactions
1 Replies
519 Views
Anaitwa Jack Dorsey muanzilishi wa mtandao wa Twitter (kwa Sasa unaitwa X) amekua kimya kwa muda mrefu baada ya kuuza app yake kwa Tajiri Elon musk hatimaye amerudi Tena bhana. ๐Ÿ’ญ Amekuja na...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Jinsi ya Ku-Automate Biashara Yako ya Mtandaoni ili Upate Mauzo Bila Kua Mtumwa wa Simu Kila Siku Utangulizi Karibu kwenye zama mpya za biashara za mtandaoni, ambapo teknolojia inaweza kufanya...
3 Reactions
3 Replies
845 Views
A. Hakutakuwa na updates za Usalama (Security updates) โ€“ Virusi vipya na mbinu mpya za mashambulizi zitaweza kupenya kwenye mfumo wa Windows 10, ingawa antivirus kama windows defender itaendelea...
2 Reactions
3 Replies
372 Views
Miaka miwili sio safari ndefu sana, lakini kwa sisi SmartBusiness imekuwa kama karne nzima ya mafunzo, uzoefu na changamoto.. Tulianza kama ndoto kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati Africa...
3 Reactions
4 Replies
353 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ