Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,367
- 2,800
Anaitwa Jack Dorsey muanzilishi wa mtandao wa Twitter (kwa Sasa unaitwa X) amekua kimya kwa muda mrefu baada ya kuuza app yake kwa Tajiri Elon musk hatimaye amerudi Tena bhana.
๐ญ Amekuja na program mpya ya kuchati ambayo hutumii intaneti kuweza kuwasiliana, Dorsey aliweza kutambulisha app hiyo mpya siku ya jumapili ni app ambayo itakuja kuleta ushindani na Whatsapp siku za usoni.
Inawezekana kutumia app kama Whatsapp katika kuchati bila kutumia intaneti alisema Dorsey, Bitchat inafanya Kazi kupitia Bluetooth low Energy (BLE),
ambapo watu waliokaribu wataweza kuwasiliana baina yao bila kutumia intaneti au wifi kwa kutuma na kupokea ujumbe baina yao offline.
๐ญ Program hiyo imeshapata watumiaji zaidi ya 10,000 ambapo iko kwenye majaribio. Program wala uhitaji Intaneti, Namba yako ya simu au kufungua Akaunti ndo kufanya kazi.
#bitchat #jackdorsey #whatsapp #android #apps #github #teknoloji #appupdate #technews #bongotech255