Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu aliyewahi Kutana na changamoto kama hii naombeni msaada
1 Reactions
3 Replies
236 Views
Ninazo vpn mbili tofauti lakini toka jana mtandao uliporudi sijafanikiwa ku connect. wenzangu mnatumia vpn gani kuperuzi Instagram, Whatsup na Tiktok?
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Naomba nijaribu kueleza matumiz ya vpn kwa uchache sana Vpn haipo kwa ajili ya kuleta mtandao mahala ambapo hakuna mitandao kwa maana ya internet Vpn ni mahususi kwa ajili kuingia kwenye...
5 Reactions
6 Replies
559 Views
Je,course ya computer engineering ina dili nchini au Africa kama ilivyokuwa computer science?
1 Reactions
5 Replies
434 Views
YouTube Niche Analysis: Make Money Online, Finance, and Social Media Tips Here's a breakdown of profitable YouTube sub-niches within Make Money Online, Finance, and Social Media Tips...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
OpenAI imezindua ChatGPT Atlas, browser ya akili mnemba itakayofanya kazi kwa ukaribu na chatbot maarufu ya ChatGPT, suala linalotarajiwa kuleta muelekeo mpya dhidi ya utawala wa Google Chrome...
6 Reactions
8 Replies
631 Views
Habari za muda huu wajuzi wa mambo. Sote tunajua ya kwamba teknolojia ndiyo kichocheo cha ukuaji wa kidijitali. Kwa sasa nchi yetu ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watumiaji wa intaneti...
2 Reactions
3 Replies
354 Views
Laptop Yako Inapumua Kama viumbe vingine. Laptop yako inahitaji kupumua kama binadamu na viumbe wengine. Inahitaji kuingiza hewa na kutoa hewa ili iweze kufanya kazi vizuri na kudumu kwa muda...
1 Reactions
5 Replies
316 Views
Wajameni hivi ikitokea unawasha simu yako unaona message inasomeka android starting optimizing apps 60 of 60 halafu phone ikitaka kufunguka inarudi tena kuanza mpaka inafikia hizo namba hili...
4 Reactions
12 Replies
589 Views
Kampuni ya Microsoft imezindua kipengele kipya katika programu yake ya Teams kinacholenga kurahisisha ufuatiliaji wa mahali wafanyakazi walipo, hatua ambayo imezua mjadala kuhusu faragha kazini...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu.. Kama unatumia pixel utakubaliana na mimi kuwa hizi simu hazina option ya ku-record call(Due to private rules) Sasa nimekuja kwenu kuomba kujuzwa App nzuri ya ku-record calling kwa hizi pixel
0 Reactions
1 Replies
267 Views
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako... Mi naanza na mobdro app noma sana Link ya kudownload MOBDRO Charlie mobdro.apk...
56 Reactions
4K Replies
964K Views
Kama sio mchunguzi na mdadisi huwezi kuelewa hizi picha hapa chini mwanzo nilidhani nimepigwa au kioo kibovu maana haiwezekani monitor ya mwaka 2011 Hp ya kushoto iizidi quality monitor ya mwaka...
3 Reactions
9 Replies
608 Views
Kutokana na Mvutano uliopo kati ya Serikali, Watoa Huduma na Wananchi kuhusu Bundles na Shutuma za Wizi inabidi sisi wananchi tuelewe tunataka nini na Wizi ni nini? Issue za Wizi: Kama kuna issue...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Tofauti Kati ya GTX na RTX Na Its MalekoGJ Kama umewahi kununua laptop au desktop yenye graphics card, kuna uwezekano mkubwa umekutana na maneno GTX au RTX kwenye maelezo ya kifaa. Lakini, je...
2 Reactions
0 Replies
291 Views
Wakuu nahitaji muongozo wenu wapi ninapoweza kununua au kuchonga spare part hii ya mashine ya kutengeneza chakula cha kuku cha punje(pellets),nataka disk yenye matundu madogo pungufu ya...
1 Reactions
5 Replies
450 Views
ChatGPT Pro ni mpango wa malipo wa kiwango cha juu (gharama: $200/mwezi), —ikiwa ni pamoja na upatikanaji usio na kikomo* wa GPT-5, sauti ya hali ya juu (advanced voice), na vipaumbele vya trafiki...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu hii imekaaje unafikiri Tv nchi 32 kushuka chini inafaa kununuliwa Tv guard au nayo ni kama simu tu,
9 Reactions
34 Replies
1K Views
Jinsi ya Kutumia ChatGPT Bure ChatGPT inatumiwa sana duniani kwa ajili ya maswali, uandishi wa makala, kutafsiri lugha, kuandika, kufanya utafiti (Research) na content za mitandaoni. Watu wengi...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nahitaji mtu mwenye blog yenye Adsense iwe kwenye wordpress ya kununua. Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog. Napatikana 0692 76 33 06 Shukrani
0 Reactions
3 Replies
610 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…