Habari wana jamvi la JF Tech, kama title inavoeleza. Simu angu kuna baadhi ya Apps hazifunguki inanipa maelezo kama yalivyo kwa TITTLE hapo juu. Naombeni msaada shida ni nini hapa!
Chombo cha kupeleka mizigo katika anga za juu cha China cha Tianzhou - 4 kimerejea angani. Vipande vingi vya chombo hicho viliteketea wakati wa mchakato huo, huku vipande vichache vikianguka...
Habari Wakuu!
Ndugu yangu kanunua hii simu ila ukiweka simcard inasoma jina la mtandao ila bars za network zipo empty. Nimejaribu katika Network options kushusha kutoka 5G to 4G to 3G to 2G ila...
Amani na iwe kwetu wote. Nashukuru jukwaa la tech ndo huwa hawana bla bla nimesaidika sana.
Sasa nina samsung s10 ina android 12. AT &T
Tatizo lake sasa linaloninyima raha ni kutokuwepo button...
Wakubwa mnajisikiaje na hali🤚🤚, ni hivi ulishawahi kufanya kazi sehemu kama programmer halafu ukakuta wasimamizi wako au pengine wadau wakawa hawajui vizuri kuhusu programming? mimi hiyo...
Za asubuhi wakuu
Naulizia kwa hapa bongo wapi nitapata battery ya simu tajwa
Naipenda huwa kanatunza chaji Sana toka 2019 mwanzoni Hadi Sasa . Week ya pili Sasa nasikia harufu Kama ya lithium...
Habari za weekend wataalamu
Nimenunua TV aina ya star X naomba kujua namna ya kuunganisha na simu yangu kwa wireless ili niweze kushare music na video. Kabla ya hii nilikuwa na TCL ilikuwa rahisi tu
STARTUP COMPANY,
Kuna mkanganyiko mkubwa Sana wa maana ya Startup ni nini unakuta hata baadhi ya Founder wa STARTUP kibongobongo hawana uwelewa wa kitosha kwamba STARTUP ni nini na inasifa gani...
Habari zenu wakuu...! Niende kwenye mada moja kwa moja
Sehemu nayoishi kuna tatizo la umeme kuwa hauna nguvu/umeme mdogo kiasi kwamba kuna baadhi ya vifaa vya umeme ukiwasha haviwaki au vinawaka...
FAHAMU KUHUSU ARTIFICIAL INTELLIGENCE ?
Neno artificial intelligence tunaweza sema ni "Akili bandia" ule uwezo wa teknolojia kufanya mambo mbalimbali ambayo kwa kawaida uhitaji kutumia uwezo wa...
Nimejaribu kuunlock kwa kutumia codes za tools baadhi ikiwemo Universal Master Tool zimegoma. Unlock Attempts zimebaki saba. ama kuna mdau amewahi kufanikisha kuunlock hii route tushirikishane...
Kampuni ya Apple inc kupitia devices zake za iphone leo zimeweka rekodi duniani ambayo haijawahi kutokea. Zaidi ya devices 10 ml zimeuzwa leo huku ikiwa ni rekodi duniani.
Iphone wanasema hiyo...