Ndugu zanguni siku hizi hapa Tanzania kuna wajasiriamali wanauza simu mtumba kutoka juu kwa bei poa hapa Dar,kwa kawaida hizo simu ikiwa mpya bei yake ni kubwa sana ,kwa watu kama sisi akina pangu...
Baada ya kutafisri Firefox kwa miezi minne, niliamua kujikumbusha PHP kidogo. Kwa hiyo mwisho wa wiki huu likaipeka tovuti ya tzLUG shopping na kupiga pasi baadhi ya kurasa.
Kurasa nilizifanyia...
Wadau naomba kuuliza nipo nchini china kikindi cha nyuma youtube ilikuwa inapatikana kwa sasa ni kama miezi miwili hivi haipatikani,je nitatizo ya computer yangu au nini,naomba mwenye ufahamu na...
heshima zenu wakuu, naomba msaada wa data recovery software, ninazo pata kwenye net ni demo tu hivyo zina kulimit kupata full optios na zingine hazikuruhusu kucopy recovered data. please kama kuna...
Hivi hii program unaweza kupiga simu bure kupitia internate au zipo programu zinazokuwezesha kutumia internate line na kupiga simu za nje kwa dezo ? Nazisaka sana ila sijafanikiwa nilielekezwa hii...
Wadau nimerudi tena nategemea naweza kupata jibu lingine zuri kutokana na maelezo ambayo nitayapata kutoka kweu...So ni kwamba baada ya kupata hili tatizo ambalo laptop yangu huwa ina matatizo...
Skype has recently unveiled the new version of its world famous VoIP software used by more than 300 million users across the globe.
Skype 4.0 features a complete new interface with lots of new...
Ndugu kuna mtu anaufahamu na jinsi kilimo cha umwagiliaji maji kwa njia ijulikanayo Drip Irrigation,je hicho kilimo kwa mtu wa kawaida nisiye na mtaji mkubwa nataka kulima kilimo cha mboga na...
Kuanzia jana nikiingia kwa mtandao wa Tanzania Daima. Napata "Auto Protect" ikionesha imeact kwa risk, na hiyo risk ni "Trojan.Maliframe!html", action ni kwamba risk imekuwa "Quarantined", kuna...
Wakuu heshima yenu....
naombeni msaada wenu ili niweze kupata ufumbuzi wa tatizo hili Invisible, shy n wote.
Computer ninayotumia hii ya hapa job imeingilia na kitu sumthing like virus katika...
WASHINGTON (Reuters) - Computer spies have repeatedly breached the Pentagon's costliest weapons program, the $300 billion Joint Strike Fighter project, The Wall Street Journal reported on Tuesday...
The purpose of this article is not to teach you how to hack sites, but to show you some scenarios that may reveal to you how vulnerable your existing site may be, or will hopefully help you...
nataka kuwa real profesional in IT katika recornized college/unv/institute katika level ya degree niweze kujiajiri hata kuwa na kampuni kwa sasa niko kwenye hii field ingawa sijaridhika na...
Naomba msaada, hivi inawezekana kuhifadhi data au mafaili yangu binafsi katika CD ninayo'burn' nikatumia 'password' fulani ili mwingine asiweze kuifungua?
Pili, inawezekana kuzuia mtu mwingine...
Some people wanted to know which websites are not safe. Before you visit some links please ask experts on how secured are the links.
I have an example of few links which are as mentioned below...