Pata Linux kiurahisi zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata Linux kiurahisi zaidi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by emanuel.feruzi, Apr 25, 2009.

 1. emanuel.feruzi

  emanuel.feruzi Senior Member

  #1
  Apr 25, 2009
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Baada ya kutafisri Firefox kwa miezi minne, niliamua kujikumbusha PHP kidogo. Kwa hiyo mwisho wa wiki huu likaipeka tovuti ya tzLUG shopping na kupiga pasi baadhi ya kurasa.


  Kurasa nilizifanyia kazi zaidi ni ya kuonyesha Linux Distro tulizonazo na matoleo yake. Pia nimebadili muonekano wa tovuti nzima. Nimekurahisisha uchaguaji wa Linux na toleo unalolitaka. Sasa unaweza kupata FreeBSD na openSolaris, ambazo sio Linux ila ni chanzo huria (open source). Ushindwe wewe tu.

  More : Pata Linux kiurahisi zaidi
   
Loading...