Skype

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Hivi hii program unaweza kupiga simu bure kupitia internate au zipo programu zinazokuwezesha kutumia internate line na kupiga simu za nje kwa dezo ? Nazisaka sana ila sijafanikiwa nilielekezwa hii lakini ukianza kukong'oli tu unaona kunafunguka kaburasha la kutaka na kudai kama una chochote uweke ndio uweze kupiga simu na rate zao ,vipi kuna mtu ana utaalamu wa kutumia bila ya kujaza fomu ya malipo ?
 
Skype ni bure kwa pc to pc, kama utapiga mitandao mengine ni gharama hasa kwa afrika lakini ukipiga kwenda simu za amerika na ulaya ni nafuu. Fungua website yao billing za nchi zote zipo, pia ukitaka skype kwenye simu yako ya mkononi download fring ni free unaiweka kwenye simu yako.
 
Yes skype unaweza kupiga simu bure kwenda kwa mtu mwenye skpe pia wote mkiwa online. Hata hivyo kwa uzoefu wangu, skype inaleta virusi sana pia inatumia band width nyingi sana.

google talk can do for you. pia unaweza kutumia yahoo messager, this is the most comon.
 
Alternative nyingine, Unaweza kutumia Globe7 ina gharama nafuu kama unapiga simu za landline au mobile Africa na especially Tanzania kuliko Skype. Pia na wao pc to pc ni bure
 
jamani nasema progaramu unazoweza kutumia kwa kupiga simu bure ,sasa inaonekana kutokana na ufisadi hata watu hawaelewani wanazungumzi nini ?

Nikiwasaidia sasa hivi na download ICQ hii niliwahi kutumia zamani kutma sms na hadi sasa natumai unaweza kutuma ila ni karibu miaka mitatu sijaitumia, lakini nikiwatumia SMS sehemu nyingi tu ,ndani ya nchi na nje ya nchi na wao wakireply inafika ,ila mtu hajui mpaka umwambie kwani namba inayomtokezea inaweza kufika digit nyingi na hazionyeshi code ya nchi inayotoka na hata nchi unazoweza kupeleka.
 
ICQ Pro 2003b includes ICQphone, a feature that incorporates IP telephony functions into the ICQ program. Users can initiate and participate in PC-to-PC and PC-to-phone calls. In addition, users can also utilize SMS technology, send wireless-pager messages, view up-to-date information on ICQ channels, and integrate ICQ with Outlook , kazi kwenu hiyo ndio niliyokuwa naitumia ila naona hadi leo inaongoza ,
 
voipbuster na voipbusterpro ni bure pc-to-phone (US) kwa 1st few calls then watataka ulipie -
 
ICQ Pro 2003b includes ICQphone, a feature that incorporates IP telephony functions into the ICQ program. Users can initiate and participate in PC-to-PC and PC-to-phone calls. In addition, users can also utilize SMS technology, send wireless-pager messages, view up-to-date information on ICQ channels, and integrate ICQ with Outlook , kazi kwenu hiyo ndio niliyokuwa naitumia ila naona hadi leo inaongoza ,


Does not support SMS for Tanzania.
 
Does not support SMS for Tanzania.

Ni kweli kabisa. Jibu ninalopata baada ya kutuma sms ni hili: "The Cellular network is currently unable to send your message to the recipient. Please try again later."
Kama kuna kitu ninakosea basi, toeni mchango.:confused:
 
Back
Top Bottom