Msaada Wakuu

Mfumwa

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
1,456
42
Kuanzia jana nikiingia kwa mtandao wa Tanzania Daima. Napata "Auto Protect" ikionesha imeact kwa risk, na hiyo risk ni "Trojan.Maliframe!html", action ni kwamba risk imekuwa "Quarantined", kuna options za "clean" ama kudelete. Nikijaribu zote zinakataa.

Naomba msaada kwa anayejua hili tatizo, na jinsi ya kuliondoa.
 
Shy, nashukuru. Najaribu kufuata maelezo, nitarudi kueleza kama nilifanikiwa ama la.
 
A description of the 'trojan.maliframe!html' - Trojan.Maliframe!html - Symantec.com, how to delete the quarantined file - Trojan.Maliframe!html - Symantec.com, and pay particular attention to the last paragraph. AntiVir programs cannot repair, quarantine, or delete a file that is running in memory or that you do not have permission (administrator) to access.
1 year ago

Kama nilivyoahidi, kuwa kwa lolote nitasema nilifanikiwa ama la, leo nietumia masaa kibao kujaribu kuyatoa hayo ma trojans toka. Nimeshindwa kabisa kuyatoa, na kila nikiingia kwa gazeti la Tanzania Daima ambako niliyapata, ndio yanaongezeka, msaada wakuu.
 
Kwanza update browser yako kama ni internet explorer au la , update antivirus yako kisha scan system nzima ukiwa kwenye safe mode - halafu tumia utilities kama wintools au windows ad care kwaajili ya kusafisha baadhi ya vitu

nakutakia mafanikio
 
Kwanza update browser yako kama ni internet explorer au la , update antivirus yako kisha scan system nzima ukiwa kwenye safe mode - halafu tumia utilities kama wintools au windows ad care kwaajili ya kusafisha baadhi ya vitu

nakutakia mafanikio

Thanks, najaribu nitatoa majibu kwa lolote.
 
Unatumia Antivirus gani mzee? Na browser gani? Maana mimi siapati kitu, na hiyo link ya Tz Daima naiomba labda nakosea.
 
Unatumia Antivirus gani mzee? Na browser gani? Maana mimi siapati kitu, na hiyo link ya Tz Daima naiomba labda nakosea.

Symantec Antivirus 10.2, browser ni Internet explorer (Windows Vista). Link ya Tanzania Daima ni freemedia.co.tz
 
Kwanza update browser yako kama ni internet explorer au la , update antivirus yako kisha scan system nzima ukiwa kwenye safe mode - halafu tumia utilities kama wintools au windows ad care kwaajili ya kusafisha baadhi ya vitu

nakutakia mafanikio

Nimejaribu nimeshindwa, naona sasa ndio imeongezeka, ilikuwa 8 trojans, sasa ni 16 trojans. Nilijaribu kuupadate browser na antivirus kama ulivyoshauri. Symantec AntiVirus nikiiupdate inajaribu kuyaondoa, lakini inashindikana na kutoa message kuwa yamekuwa “Quarantinized” .
 
Tuma antivirus ambayo ni all in one - kama kaspersky na baadhi ya mcafee itaweza kukusaidia zaidi nina wasi wasi sana symantec haswa unapoitumia wakati system yako imeshakuwa infected

siku njema
 
Msaada wataalamu
mimi kutuma new thread sijui ila nataka kupata mchanganuo wa bajeti ya serikali ya tz kwenye maeneo ya fuatayo(amount spent na %)
1. Safari za viongozi nje na ndani
2.ununuzi wa magari
3.semina na wkshops
4.simu, umeme, maji
5.furnitures
6.wese
 
Tuma antivirus ambayo ni all in one - kama kaspersky na baadhi ya mcafee itaweza kukusaidia zaidi nina wasi wasi sana symantec haswa unapoitumia wakati system yako imeshakuwa infected

siku njema

Shy, nashukuru, hii ni antivirus ni kali, yani imeondoa kila kitu, trojans na virus ambazo nilikuwa sijui zipo. Nimetumia ile trial ya 30 days. Symantec Antivirus sio kali, manake ilikuwa inaona tu Trojans, na kushindwa kuzitoa. NASHUKURU SANA KWA MSAADA.
 
Hi mfumwa ahsante nimefurahi kusikia hivyo

siku zingine ukiwa na shida unataka kutuhabarisha karibu tena katika jukwaa endelevu la maarifa tele
 
Hello Mfumwa Jaribu kunielewa Vizuri hakuna Anti-Virus itakayoweza kuiondowa hiyo Trojan.Maliframe!htm Jaribu Kunifuata ushauri wangu huu ili uweze kuiondowa hiyo Trojan.Maliframe!htm

To Remove Trojan.Maliframe!htm in you Computer Follow Me Step By Step
First Turn off System Restore Steps to turn off System Restore

1. Click Start, right-click My Computer, and then click Properties.
2. In the System Properties dialog box, click the System Restore tab.
3. Click to select the Turn off System Restore check box. Or, click to
select the Turn off System Restore on all drives check box.
4. Click OK.
5. When you receive the following message, click Yes to confirm that you
want to turn off System Restore.

Then After Restart you Computer Safe Mode With Networking how to Restart?
1. Log out and reboot your machine.
2. When the machine starts the reboot
sequence, press the F8 key
repeatedly.
3. Select Safe Mode with Networking from the resulting menu.
4. When the log in screen comes up, log in as Administrator. By default,
Administrator has no password.
5. The machine will continue booting, but the Windows desktop will look
different. In The Safe Mode With Networking Then Download and Scan By Using
Norman Malware To Un-locker and Remove Trojan.Maliframe!htm Press here
MajorGeeks.Com - Contacting Download Site

6. To Remove Trojan.Maliframe!htm in you Computer Download and Scan By Using Both Super Anti-Spyware Press here SUPERAntiSpyware.com - AntiAdware, AntiSpyware, AntiMalware!
And Malwarebytes' Anti-Malware Press here Thank you for downloading Malwarebytes Anti-Malware from Download.com


7. After Remove Trojan.Maliframe!htm in you Computer Turn On system Restore Steps to turn on
System Restore

1. Click Start, right-click My Computer, and
then click Properties.

2. In the System Properties dialog box, click the System Restore tab.
3. Click to clear the Turn off System Restore check box on all drives check
box.
4. Click OK.

After a few moments, the System Properties dialog box closes Then
Restart you Computer.
 
Back
Top Bottom