Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ni vigumu kupata sim card ukiwa uhindini. Lazima ufanye usajili wa haja kwa kutumia pasport yetu. Lkn ukiwa tz wahindi mara moja tu kwetu. Heee
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello Wagwana Nime experince fast hand kuibiwa simu baada ya kukaa na simu kwa miaka ipatayo minne sasa...kwa kweli niliona kama nimepoteza hata kilo mwili. Siku za siku hizi unaweza weka...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakulu kuna kitu hii imenikuta......Ninajaribu kuongeza HD kwenye mashine na kila nikiiboot napata error ifuatayo..."Drive 1 not found: serial ATA, SATA-1 strike F1 to continue, , F2 to rn the...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau wa Jf, samahani nimekuwa nikiona matangazo ya gharama za internet ila bado sijaelewa kipimo chake. Unaweza ukaona gharama ni sh 300/MB wengine 125/MB. Je nitajuaje kuwa website...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu msaada wenu kuhusu hiki kitu kinachoitwa inverter (Power Supply).Nimesikia kutoka kwa baadhi ya watu kuwa kinweza kusupply umeme kama Solar. Mwenye uelewa zaidi naomba anisiadie maake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna huyu virus anajulikana kama Z-connect mwenye ujuzi namna ya kuzuia atumwagie nasikia akiingia kwenye computer dawa ni kuformat is any other way to do. Thanks in advance for anyone comes up...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
The Human-Hybrid-Motorcycle When inventor Stefan Gulas rides his eROCKIT around Berlin, he still turns lots of heads. Is it a motorcycle, a weird scooter, a souped-up bike? People don't...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hard disk is one of the most important components of your PC and losing your data on it can be a nightmare. Apart from having backup copies, this tutorial will guide you on how you can improve the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wataalam wa IT, Nime-install Internet Explorer 8 kwenye computer yangu ikavuruga Adobe Flash Player. Kuna baadhi ya vitu siwezi kufanya bila ya kuwa na Adobe Flash Player 10. Kila nikijaribu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ZHEEL SCIENCES studies the Human Excellence and Physical / Meta Physical Powers. ZHEEL SCIENCES guides us the right use of Human Mind Powers and Physical Skills. Learn Mind Sciences with Master...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Microsoft wanaitoa bure kwa sasa, lakini ndo hivo kudownload Gigabyte kibao. Kuna sehumu inaweza ikapatikana bongo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
http://www.cctv.com/program/worldwidewatch/20090709/101274.shtml Wenye Data zaidi tumwagieni jamani. Maana kama ni kweli,itakuwa kaaaazi kwelikweli!!!Maana tunaweza kuja kupata watu wenye majina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji msaada,Kuna emails zimestuck kwenye outbox yangu mwanzo zilikuwa 23 emails nimezimove kwenye folder jingine zimeenda 11 emails, zimeback 12 emails kwenye outbox.Hizo 12 emails zilizobaki...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu salaam zenu. I am looking for a civil designer (genuine not pirated) for purchases full as shown bellow Desngner centre upgrade to v6.5 New survey terrain module v6.5 Road upgrade to v6.5...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Google wametangaza kuja na Operating System yao. Google Chrome OS is an open source, lightweight operating system that will initially be targeted at netbooks. Later this year we will open-source...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello Wakubwa, Kwa mara ya pili jengo la Inter (Interhouse) lililoko mkabala na Millennium towers, limeanza kudondosha rangi. Tulitegemea "consultants" kama hawa ndio watushauri kwa masuala yote...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hi everyone here in JF! jamani hivi ukitaka kujua password ya eail iliyokuja kwenye inbox yako unafanyaje? mwenye kujua jamani ani-PM, coz najua sio vyema kuanikwa hadharani, mi ninauliza kwakua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Marekani pamoja na mabavu yake yote inayoionyesha kwa nchi mbali mbali duniani haswa ambazo hazipendi maslahi yake , iliamua kutangaza wazi nia yake ya kufanya mitandao yao ya mawasiliano kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi guys i'm in need for webcams like 10 -> 15 webcams, were can i get the cheapest webcams ? and for how much? *** i'm working on a project that i would be inneed of those webcams sooner or later...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuseme ninahitaji kudownload file ya 8GB, kuna sehemu wanaprovide service kama hii? Au kuna mtu anajua njia nzuri/nafuu ya kufanya kitu kama hiki? Maana kwa mitandao ya nyumbani ya pay as you go...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…