Taarifa kuhusu avast antivirus updates

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
UFAFANUZI KUHUSU AVAST ANTIVIRUS

Ndugu wadau mbalimbali na watumiaji wa antivirus aina ya Avast Version 4.7 na kuendelea Home Edition pamoja na Pro ,kUanzia jana asubuhi watumiaji wa bidhaa hizo hapo juu wamekuwa na matatizo Fulani kila wanapo jaribu kuupdate antivirus zao wengi waliokubwa na tatizo hili ni wale waliokuwa wana update offline yaani hizo updates wanadownload kutoka eneo moja kuhifadhi kisha wanaenda kuinstall kwenye eneo linguine , Toka jana computer zenye kufanyiwa updates hizo zimekuwa zikisumbua sana moja ya tatizo lake ni unapozima unapowasha basi haiwezi kukuruhusu wewe kulogin katika computer hiyo huwa ina freeze tu , hata kutumia safemode pia ilikuwa inashindikana .
Unapotokewa na tatizo hilo unashindwa kabisa access ya kuingia katika computer yako kwa njia zingine za kawaida ambazo zinajulikana unachotakiw akufanya sasa ni hivi .
1 ) kama una cd ya Operating system husika ya computer hiyo una shauriwa uitumie hiyo kwa ajili ya kufanya repair , maelezo ya jinsi ya kurepair windows unaweza kusoma katika mitandao mbali mbali ila nakushauri uwasiliane na mtaalamu wako wa masuala hayo .

2) ikishawaka sasa unatakiwa kuondoa hiyo antivirus install upya , fanya updates kisha restart halafu ufanye scanning ili kama kuna virus waweze kuondolewa kisha uendelee na shuguli zako zingine

2 ) hili tatizo limetokea kwa watu wengi zaidi , njia rahisi zaidi ya kufanya ni hiyo hata hivyo kampuni yenyewe ya Avast haijatoa tamko lolote kuhusu Update hii ya jana ambayo imeadhiri watu wengi sana mpaka sasa ninavyooandika .

Mchana mwema Tutaendelea kuelimishana na kupeana taarifa zaidi kama kutakuwa na lolote la kuongezea kuhusu mada hii , Mimi sio mwakilishi wa Kampunii hiyo wala sijawahi kufanya kazi nao kwahiyo nilichoandika ni kutoka kwangu sio Avast .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom