Help needed

Bekkar

New Member
Aug 26, 2009
4
0
nina tatizo na computer yangu ni dell PRECISION 380 mwanzo ilikuwa inafanya kazi vizuri tu ila baada ya muda ikawa mouse i respord so nikaamua kuforce boot then baada ya hapo ikawa inaleta black screen ith this message X300 PRO 128MB BIOS P/N 113-A33405-100.
 
Hii mara nyingi inatokea ukiwa na matatizo ya RAM..either umechanganya ambazo si sawa au kuna moja ambayo ni mbovu. Umebadilisha au ongeza RAM hivi karibuni?
 
nop sijaongeza ram it just happen nilikuwa natumia fresh to then ikaanza mouse to hag so nikaamua kuforce boot there ndio ikaanipa that message any way i will try to check ram ikoje!!
 
Hebu disconect mouse, keyboard na vga cable then chomoa ram na weka tena kama ziko mbili badili ya huku weka klule then unga na washa tena. Halafu nadhani ram yako itakuwa ndogo sana if so upgrade ram ili iwe na speed nzuri. Zaidi tuwasiliane kama itagoma tena niende mbele zaidi
 
Back
Top Bottom