Help: Asycuda ya TRA na mtandao wa Zantel

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Jamani nimeshikika naitaji kuelewa hivi ukitumia mtandao wa Zantel na asycuda inakubali maana nimejaribu naona mauza uza kama kuna mtu mwenye data zozote naomba anisaidie maana nimeshazunguka sana naona sipati maelezo yaliyo nyooka.
 
Jamani mnisaidie hjii isue
 
Kama kampuni yako ni Member wa TAFFA, mwone President wa TAFFA. Wamepewa special offer ya Internet kwa ajili ya ku-access ASYSCUDA.
 
Back
Top Bottom