Ishara 7 computer yako imevamiwa na spyware | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ishara 7 computer yako imevamiwa na spyware

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MziziMkavu, Aug 24, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Spyware ni programu yenye muundo wa malware inayoweza kuichukuwa computer yako a kutoa siri za computer yako kwa watu wengine wenye kutaka taarifa hizo . Spyware huwa inatawanywa kupitia baadhi ya tovuti mtu anazotembelea na ujanja unaotumika zaidi ni wa programe yenyewe kujiingiza bila thini yako kwanjia ya download na zingine huja na programe haswa za bure na zile cracks

  Hapa chini kuna ishara 7 za kuonyesha komputa yako imeshambuliwa na spyware au programe zinazohusiana na spyware

  1 ) Browser yako haswa internet explorer inajibadili home page kama ilikuwa ni https://www.jamiiforums.com inaweza kuwa ni www.msanii.co.nr bila taarifa na bila wewe kuiambia ibadili hiyo home page

  2 ) Kama umekosea kuandika URL tovuti katika browser yako au ukitafuta kitu mfano katika msn search inakupeleka katika tovuti za ajabu ajabu ambazo wewe hukuandika .

  3) vitu vipya haswa matangazo yanajiweka katika favorites zako na bookmarks zako haswa smileys na promotion mbali mbali haswa za bidhaa za bure na offer za kucheza kamari

  4 ) wakati mwingine browser yako inakuwa na toolbar ya ziada ambayo hukumbuki kama uliwahi kuinstall mara nyingi ni ya screensavers na zingine za popups

  5 ) ukiwa unatembelea tovuti mbali mbali katika mtandao unakutana na popups za ajabu ajabu kama za porn na matangazo mengine ambayo hayahusiani na shuguli unayoifanya , lakini baadhi ya tovuti zina popups zao wenyewe kama yahoo na google , la zaidi mfano ukitembelea tovuti za masoko kama ebay unapata upinzani toka katika tovuti zingine kwa mtindo wa popups

  6) computer yako inaanza kuwa na tabia za ajabu haswa ukitembelea tovuti au ukifanya shuguli zingine

  7 ) Computer yako inaaza kuwa slow kutokana na hizi spyware ( lakini angalia zaidi system yako inaweza kuwa ni RAM vitu vingine )

  Kama unaamini computer yako imeasirika na spyware bora upate antipyware haraka iwezekanavyo ili uweze kuendelea na shuguli zako kama kawaida
   
 2. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu nashukuru kwa kutuelimisha. Je, Antivirus inaweza kuzuia au ku-scan spyware?
   
 3. K

  Kimweri JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2009
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 3,998
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  uki google spyware utagundua kuwa ni tofauti na spyware,so that wont happen
   
Loading...