Jamani kuna coding competition organized by google here:
http://code.google.com/codejam/africa/
Current Round is only a qualification round, so it not too late. Round hii inaisha saa 9 usiku...
Naombeni msaada jamani,
Nimejaribu hata kwa iPhone 3G still didn't work, always says searching, but never finds any device.
Something wrong with iPhone 'tooth' or?
Wakuu natafuta PDF Editor software chapchap, nimejaribu kuzungukazunguka, naonana na nitroPDF pekee, kama kuna mwenye nayo nyingine naomba msaada, au hata kama kuna mahali humuhumu ndani ipo...
colloge of business education dar es salaam campus wamefunga wireless internet sasa hivi wanamalizia matengenezo madogo madogo kukamilisha hadi sasa teyari substation zimefugwa. Lakini sijui...
Wakuu kwa wale wajuzi wa mambo Haya naomba msaada wenu.Nimekuwa nikitumia HUAWEI EC 189 USB Modem nje ya Tanzania.Nataka nirudi home na nina mpango wa kuendelea kuitumia hiyo Modem nikiwa Home...
Jamani Blackberry Storm 9500 yangu kila nikicharge haingizi charge yoyote inabaki kuwaka kwenye LED red tu,mwanzoni nilifikiri huenda betri imeisha ikabidi ninunue mpya na kuweka nikajaribu...
MADA HII IPO HAPA KUNA NINI NBC
NIMEAMUA NIILETE HAPA KIDOGO ILI TUWEZE KUSHIRIKI PAMOJA
Ndugu zangu nimeona mlichochangia hapo napenda kusema kwamba ni kweli kuna msako wa kutafuta...
CreativeTechs wanafanya kozi za bure Live kupitia mtandao wana kozi za Photoshop, Flash, Android, iPhone na zengine nyingi full list:
http://creativetechs.com/training/
Kuangalia kozi nenda...
Malware could tap into phone's microphone, GPS and even your battery
iStockPhoto
A rootkit is different and more difficult to detect than other malicious software like viruses.
Malicious...
Wakuu Wote,
Naomba msaada wa kitaalamu
Nifanyeje niweze ku-install SAP GUI 7.10 kwenye Windows Vista?
Kila-attempt niliyofanya inaishia na ERROR ambazo zina-vary!
Natanguliza shukrani
Kwa wenye interest, kwenye pita pita nimekutana na hii kitu.
Pia kuna habari kwamba
Tanzania Government has signed contract
with Chinese company to deploy the 7,000
km national fibre...
Ikipewa code Office 14 toleo jipya kabisa la MS word ikichukua nafasi ile MS 2007....ina vitu vizuri hasa kwenye user interface uptodate....ni kununua copy ya MS 2007 orijino from now mpaka Sept...
Ikipewa code Office 14 toleo jipya kabisa la MS word ikichukua nafasi ile MS 2007....ina vitu vizuri hasa kwenye user interface uptodate....ni kununua copy ya MS 2007 orijino from now mpaka Sept...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.