Livestation software install your computer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Livestation software install your computer

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Original Pastor, Apr 27, 2010.

 1. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wana JF
  fuata linlik www.livestation.com alafu nenda kwenye download click ikifunguka chagua window uipendayo kulingana na wewe unahitaji nini?

  Kwa anayetaka Software ya livestation ipo poa sana mimi naitumia ku browsering radio au tv yoyote utaipata safi sana lakini kwa Tanzania Aibu hakuna hata radio au TV iliyokuwa Hewani WHY?????????????????????
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kuna radio moja tu nijuayo mimi Tanzania ambayo unaweza kuipata live online nayo ni RADIO MARIA kwa watu wa nje ya tz mnaweza kupata mapitizo ya magazeti ya tanzania kila siku sa mbili na nusu asubuhi. (EAT)link yao ni http://www.radiomaria.org/media/start.asp?SOURCE=tanzania-hq&TITLE=tanzania%20-%20hq.

  Tuna kazi ndefu na kubwa kuifanya hii Tekonohama itumike kubadilisha maisha ya watu positively na kuwapatia taarifa. tatizo letu sote ni watu kutokupata taarifa (Information) in right time
   
 3. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mtazamaji: Mimi nakuunga mkono mia kwa mia kwani Bongo tunashindwa kabisa kuweka Radio Online kwani TBC wapo wapi? haya hata Clouds FM nao wapo wapi tuwe na Radio zetu Live ili tuingatanga TZ
   
 4. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Asante sana mkuu, umenisaidia hata mie.
   
Loading...