Msaada Tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Tafadhali

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KakaJambazi, Apr 29, 2010.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,010
  Likes Received: 3,195
  Trophy Points: 280
  Naomba nifahamisheni jinsi ya kubadili wimbo ulio kwenye realplayer au utube uwe kwenye window media player.

  Thx.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Swali lako tata. ni sawa kuuliza ubadili CD inaocheza kwenye Music system ya sony ili icheze kwenye music system ya Panasonic.

  Jibu. Hautaji kubadili wimbo labda unahitaji kubadili settings tu za mashine yako

  Kkucheza wimbo au program kwa kutumia apllication fulani inategemea wewe default kompyuta program ya kucheza music au video. kama default porogram ya kucheza video ni Real player itafungua kwenye real player Na kama unataka kubadili ili icheze kwenye program nyingine una right click kwenye file husika na unachagua open with halafu unaselect programu unayotaka ifungue hilo file.

  Kama unataka kuifanya Window Media player iwe Default chagu file lolote unalotaka kucheza right click select option ya Open with then kwenye list ya open with chagua option ya mwisho kabisa ambayo ni choose program

  Then kwenye list ya program itakayokuja chaguao Windows media player . Na utaona Pia kuna check Box imeandikwa always use the selected program to open this kind of file I check au kuweka vema kwenye hicyo check box . Utakuwa umeifanya windowa Media player kuwa default
   
 3. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Swali lako la msingi ingawa "MTAZAMAJI" kalichukulia upande mwingine ni kweli inawezekana uka-right click na kuchagua player gani uchezee huo mwimbo wako ingawa si true kwa kila file extensions mfano windows media player haiwezi kufungua file yenye extension VLC na hizo nyimbo za Youtube lazima uziprocess ki mtindo ndo unaweza ukazicheza kwa "wmp" siyo rahisi vile kama maelekezo ya Mtazamaji yanavyoeleza. Sasa tukirudi kwenye swali lako, hizo nyimbo zina extension gani?
  kwa vile Realplayer inasupport ext nyingi ambazo Windows media inazi support vile vile.
   
 4. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,010
  Likes Received: 3,195
  Trophy Points: 280

  Asante mkuu, zip kwenye ext ya flv.
   
 5. killo

  killo JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Go on the link : ***GONGA HAPA***

  1. Download the soft
  2. Install it on you pc
  3. Restart your pc
  4. Go to any file/folder that you want to play and right click it, and choose " play with or open with, VLC media player"

  This player will play 99.9% of any media file available, and the best of the best, it is for free

  ENJOY
   
Loading...