Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wandugu habari za majukumu, Nina software ya Flexi 8.1v nahitaji kuistall kwenye pc yangu lakini sina keys zake Naombeni msaada Natanguliza shukurani zangu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajf naombeni msaada mwenye product key za ashampoo ya mwaka 2010 anitumie,natanguliza shukrani zangu za dhati ktk hlo ombi langu.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
I'm only the beginner in web designing and nataka mni-judge....:embarrassed: Website: Home - Karibuni Guys!!
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa muungwana mwenye kujua namna ya kuondoa au nifanye nini ili kuondoa tatizo la kukatakata kwa video kwenye kompyuta yangu anisaidie. kompyuta ni dell insipiron 1525
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanajajamvi na kama wapo na wasomi wa chuo kikuu maarufu Tanzania. Sijui Kama wasomi wanaotakiwa kuwa mfano wana jua kazi ya website. Je hizi website zinaanshwa kama fashion na mkumbo tu ...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari wana technologia, ninampango wa kununua GPS yenye uwezo wa kukusanya data katika mfumo wa GIS (point, line, and attribute) naomba msaada wapi naweza kupata na bei ni kiasi gani
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Do you write technology articles or business technology? Do you believe in changes? Wanna give support this young fella? visit his blog: tungule.wordpress.com write...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
:A S-alert1:European scientists have embarked on a project to let robots share and store what they discover about the world. Called RoboEarth it will be a place that robots can upload...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Mkuu Calvin na dr.phone msaada wenu wahitajika,niliichakachua modem ya ZTE model K-3565-Z kwa kutumia DC-Unlocker kwenye report ikaonyesha sim status ipo unlocked,Sikuweza kutumia sim card ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nina HP Pavilion dv9000, na haikuwa na tatizo lolote lile tangu nimeinunua bt sudenly iliaza kuchora mistari ya rangirangi with a bad sound signal.. wat i did was to shut down and see wat was...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba kuuliza, Hivi wadau wanaoshirikiana ktk SMS kila mmoja wao anajuaje idadi ya SMS zilizoingia? Kwa mfano, waandaaji wa Bongo Star Search (BSS) wanawezaje kujua idadi ya SMS zinazotumwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada wenu !!napata tabu na msg hii
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The Catholic Church has approved an iPhone app that helps guide worshippers through confession. The program - called Confession - went on sale last week through iTunes for £1.19 ($1.99)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi si mtaalam sana wa computer. Nimeweka Ubuntu 10.10 kwenye computer yangu sasa nataka ni-install media player software ya Exaile-0.3.2.0 nimeshai-download ila sijui nianzie wapi. Nimejaribu...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
jaman mwenye registration code za total video converter version 3.71 anisaidie,,,,,,
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu naombeni msaada laptop yangu imekuwa kmeo kila nikiwasha inawasha taa za blue tu baada ya sekunde inazima akuna kinachoendelea nimebahatika kuwaona wataalamu wawili wananiambia akuna jinsi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Line yangu ya tigo imekata mawasiliano jana mida ya saa tano hivi, nimeuliza watu kama watatu hivi naambiwa hiyo inatokea mara kwa mara kwa mtandao wa tigo na wamenishauri nika tengeneze line...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nikitumia modem idm hainiombi serial number once nikija kwn public network inagoma ku function mpk serial namba....wadau naomba msaada kuhusu hili tatizo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Laptop yangu ni hp dv2500 win 7 ultimate nimejaribu kurepair disk by chkdsk na ile ya windows explorer ya check disk errors lakini inagoma. msg inayotokea ni kudai restore to a certain date...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…