Naomba kwa yeyote anayejua anisaidie jinsi ya kufichua mafaili yaliyo fichwa katika flash, nina flash yangu ambayo baadhi ya mafaili hasa ya miziki hayaonekani kwenye computer lakini huonekana...
Parts of these pages on USB Networking are a cooperation with
Parallel Technologies, the creator/ inventor/ developer
of the DirectParallel® technology licensed to Microsoft
for the Direct Cable...
Sam Exclusive utajua ni mtiririko wa post zinazohusu teknolojia hapa bongo.
Leo ni IBM
IBM's Corporate Services Corps team in Tanzania visited a local school in Arusha. The school opened in 1934...
Habar zenyu wanathnker hv nini kinachosababisha mashne kuchagua software(window) mfano ulikuwa unaingiza window xp service packes 2 na iliyokuwepo ilikuwa hiyo hyo ila ki kama umebadili cd au...
Msaada please,
Nina laptop Dell inspiron 1720,
kuna wakati computer ina kuwa kama ime crash na message hii inatokea "hardware malfunction, call ur hardware vendor for support, then chini...
Heshima kwenu wakuu.
Nina router ya sasatel ambayo naitumia ku connect computer kadhaa kwa wireless na utp, sasa nimeamua kubadili operator nikanunua ya airtel, but nimegundua kwamba ile router ya...
Picture this scenario, Natumia modem ya kasi ya Airtel (3.6 Mbps) nyumbani (ambayo nimei share nyumba nzima kwa kutumia Internet Connection Sharing) kuperuzi hapa na pale, mtoto wangu wa kiume...
Hivi Jamani Inakuwa vipi hiki chuo kinatoa Advance Diploma ya Miaka miwili wakati Advance Diploma ni Miaka Mitatu? tunapata usumbufu sana kupata kazi serikaini
Getting the Your System is Low on Virtual Memory error is very frustrating. Fortunately, it will not destroy the computer. It merely indicates that the computer no longer has any memory to...
Hey avatar yangu ipo .gif lakini kila niki-upload naona haishake ati...nimejaribu sana nimeshindwa,nimejaribu kusoma rules nimetoka KO...hembu nielimisheni hapa. OS yangu ni Linux UE 2.8(nadhani...
We get letters
Mar 9th 2011, 15:52 by G.F. | SEATTLE
A LETTER was delivered to Mrs Babbage recently from Tanzania. She was surprised, as she did not recall having correspondents there. But...
Ni Modem ya Zain/Airtel;
Model E 1550;
Maker: Huawei Mobile;
IMEI: 358811039204886;
Made In China.
kama unaweza ukanisaidia thru post ama thru PM yote ni sawa.
Wadau mambo vp?
Naomba kuuliza eti kuna uwezekano wa mtu kuzuia kama hautaki mtu akupate kwenye hewani lakini wewe unakuwa hewani fresh na watu wengine wanakupata kama kawaida? Kuna kitu kama hcho?
Juzi tu nilipata ajali, ila nikapona.
Lakini gari select saloon imeumia vibaya sana. Nataka kuitengeneza lakini rangi zinasumbua ni "dark foamred" zilizopo zinapauka,
nisaidieni technolojia ya...
Ni Modem ya Zain/Airtel;
Model E 1550;
Maker: Huawei Mobile;
IMEI: 358811039204886;
Made In China.
kama unaweza ukanisaidia thru post ama thru PM yote ni sawa.
Ni Modem ya Zain/Airtel;
Model E 1550;
Maker: Huawei Mobile;
IMEI: 358811039204886;
Made In China.
kama unaweza ukanisaidia thru post ama thru PM yote ni sawa.