Unlocking sasatel router

DON KILLUMINATI

Senior Member
Jan 2, 2011
193
83
Heshima kwenu wakuu.
Nina router ya sasatel ambayo naitumia ku connect computer kadhaa kwa wireless na utp, sasa nimeamua kubadili operator nikanunua ya airtel, but nimegundua kwamba ile router ya sasatel iko more powerful na hata kwa inavyonekana as ni zile zenye stick 2 kwa mbele (aerial) but ya airtel wao wana internet speed nzuri lakini router zao ovyo. Sasa wandugu naombeni msaada jinsi ya kui-crack hiyo router ya sasatel ili niweze kutumia sim card yoyote.
Nawasilisha.
 
Huwa sipendi kuchangia topic ambazo hazijitoshelezi..... unapo sema router za Sasatel una maanisha nini? tupe model namba ya hiyo router ndio tujue kama tunaweza kukusaidia au la.... siku nyingine ukihitaji msaada lazima utoe maelezo yanayo jitosheleza mkuu, inatuwia vigumu sana kwetu kuanza kukuuliza maswali ambayo siyo kazi yetu...
 
OK OK OK MKUU!!

ROUTER YENYEWE INAITWA AnyDATA [Wireless / Wi-Fi Router / RJ11] MODEL NAME: AWR 501C

NATUMAINI MAELEZO YANAJITOSHELEZA SASA..

KARIBU UCHANGIE.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom