Kuzuia mtu kukupigia simu

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Wadau mambo vp?
Naomba kuuliza eti kuna uwezekano wa mtu kuzuia kama hautaki mtu akupate kwenye hewani lakini wewe unakuwa hewani fresh na watu wengine wanakupata kama kawaida? Kuna kitu kama hcho?
 
kipo ila inategemea unatumia simu gani.....kama ni kitochi sahau
 
Kwenye menu ya settings simu nyingi zina option ya blacklist au number screening. Ni kwa ajili hiyo.
 
Kama unatumia iphone au blackberry kuna apps una download then unaweza kuset wanaoweza kukupigia ni wale kwenye contacts zako only!
 
Yangu ni nokia 6300 inaweza ikawezekana?
Kuhusu unscreened c mtu akikupigia c inakuwa inaita bt haitoi mlio?
 
Yangu ni nokia 6300 inaweza ikawezekana?
Kuhusu unscreened c mtu akikupigia c inakuwa inaita bt haitoi mlio?

hicho ndo ninachokijua.
mi mwenyewe nilitamani sana kitu hiki, nikawauliza costomer care (voda) wakaniyeyusha, walishindwa. ila naamini ukipata mtaalamu wao anaweza kufanyakitu hicho.
 
hicho ndo ninachokijua.
mi mwenyewe nilitamani sana kitu hiki, nikawauliza costomer care (voda) wakaniyeyusha, walishindwa. ila naamini ukipata mtaalamu wao anaweza kufanyakitu hicho.

teh teh vimeo vinasumbua eeheeh!
 
Yangu ni nokia 6300 inaweza ikawezekana?<br />
Kuhusu unscreened c mtu akikupigia c inakuwa inaita bt haitoi mlio?
<br />
<br />

Achana na nokia, tumia blackberry weka callblocker app. Lol! Utachagua nani wakukupigia
 
Ninayoijua mimi ni kufunga simu ambayo kwa kufunga ni *35*0000# na kufungua ni #35*0000# ukifunga haiingii msg wala simu ila ukipiga sim inatoka kama kawaida!Ni hii kwa sim yoyote hata ya tochi
 
Wadau mambo vp?
Naomba kuuliza eti kuna uwezekano wa mtu kuzuia kama hautaki mtu akupate kwenye hewani lakini wewe unakuwa hewani fresh na watu wengine wanakupata kama kawaida? Kuna kitu kama hcho?
Mkuu una daiwa nini? dawa ya deni ni kulipa....Kama walivyo sema wenzangu ina wezekana kutegemea na simu uliyo nayo.jaribu hii application ni ya kununua ila unaweza kuidownload na kuitumia kwa siku kadhaa tu .Best Blacklist for S60 3rd edition
 
Ninayoijua mimi ni kufunga simu ambayo kwa kufunga ni *35*0000# na kufungua ni #35*0000# ukifunga haiingii msg wala simu ila ukipiga sim inatoka kama kawaida!Ni hii kwa sim yoyote hata ya tochi
Mkuu hii option yako ni ya kuzuia simu zote zinazo ingia,hivyo utamfanya jamaa hakose mawasiliano na watu wake muhimu, yeye anataka kuzuia namba moja au zaidi ya moja na siyo kuzia zote.
 
Achana na nokia, tumia blackberry weka callblocker app. Lol! Utachagua nani wakukupigia
Mkuu, unaongea kimasihara sana, kumbuka jamaa ajakuambia kuwa anataka kubadilisha simu bali anataka kuzuia namba inayomsubua isimpate.... Siyo kila mtu ana uwezo wa kumiliki blackberry mkuu.
 
MobiGenie download at Symbian - Freeware . com

MobieGenie.jpg

MobiGenie is one of the most valuable utilities for any mobile phone. With MobiGenie, you can manage your mobile phone world by a lot of integrated features, such as (answer machine, caller locator, SMS auto-reply, caller block,... etc).
 
Wakubwa asanteni kwa mchango wenu ngoja nijaribu then nitarudi.
 
mimi natumia sumsung cha kufanya

1bonyeza mara moja key ya kupigia kupata call log ( yaani orodha ya waliopiga miss call received call dialled)
2 chagua mtu unayependa asikupigie
3 bofya option
4select add to reject list
basi mtu huyu hawezi kukupigia
KUMURUHUSU AKUPIGIE
Nenda kama hapo juu mpaka stage 4
select Reject list
Hapa utaona orodha ya watu wote ambao umewareject sasa unaweza kuchagua wa kumuondoa kwenye lis
 
Ninayoijua mimi ni kufunga simu ambayo kwa kufunga ni *35*0000# na kufungua ni #35*0000# ukifunga haiingii msg wala simu ila ukipiga sim inatoka kama kawaida!Ni hii kwa sim yoyote hata ya tochi

Mkuu hzo zote ni za kufungua,hzo tetra 0 nazo inategemea na barring password ya simu. Nyingne zinakuwa ni tetra 1.
 
Ninayoijua mimi ni kufunga simu ambayo kwa kufunga ni *35*0000# na kufungua ni #35*0000# ukifunga haiingii msg wala simu ila ukipiga sim inatoka kama kawaida!Ni hii kwa sim yoyote hata ya tochi
Tunashukuru Fisadi kwa kutöönesha ni jinsi gani tunaweza kuzifisadi cmu
 
Back
Top Bottom