Naomba msaada wa kupata huduma ya 'who called' kutoka Airtel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa kupata huduma ya 'who called' kutoka Airtel

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mfukunyunzi, Mar 9, 2011.

 1. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kichwa cha habari chajitosheleza.
  Natanguliza shukrani.
   
 2. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,329
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  tuma neno SUB kwenda namba 15524,baada ya hapo utaambiwa uchague lugha either kiswahili au kingereza utachagua kwa kutuma L1 au L2 kwa

  kisha utabonyeza **62*+255784101125# ok (hii ni shortcut ya call divert meaning that utakapopigiwa simu wakati namba yako ipo off namba hiyo itapokea simu kisha kukutumia taharifa utakapoiwasha)-I'm CCR
   
Loading...