Mafaili yaliyo fichwa katika flash

jjeremiah

Member
Jul 30, 2010
43
13
Naomba kwa yeyote anayejua anisaidie jinsi ya kufichua mafaili yaliyo fichwa katika flash, nina flash yangu ambayo baadhi ya mafaili hasa ya miziki hayaonekani kwenye computer lakini huonekana kwenye deki na kucheza vizuri tu. Ahsante
 
Tumia command prompt utayaona yote kisha yarudishe moja moja hadi yaishe baada ya hapo ukifungua flash kwa utaratibu wa kawaida utayaona
 
weka hiyo flash kwenye computer, ifungue, nenda hapo juu kwenye toolbar click tools kwenye menu itakayofunguka click folder option, ikifunguka click view, hapo kwenye advance setting click show hidden files click ok, nenda kwenye flash yako utaona files zote
 
Ndugu

Flash yako in Virus, Kirusi hicho kinabadirisha File attribute, kwa hiyo tafuta Anti-virus nzuri then scan Flash, pia tafuta SW inaitwa Attribute manager itumie hiyo kubadilisha attribute ya file zako zote ili zionekane kama kawaida
 
mara nyingi ukienda folder option pia unaweza usiyaone..Cha kufanya weka flash kwenye compyute kisha fungua my compyuter ili ujue ipo ktk drive gani...nacchukulia kwangu ni G

sasa nenda START-ALL PROGRAM-ACCESSORIES-COMMAND PROMPT
ikishafunguka type
>>G: halafu INTER
>>dir/ah halafu inter
>>attrib -s -r -h (halafu piga TAB mpalka uone hilo faili unalolitaka kisha bonyeza INTER
rudi kwenye flash utalikuta
 
Jamani msiniite kihiyo! Sikuwahi kusoma computer mahali popote ni utundu tu! Naenda shule wallah nikirudi hamnitishi. Eti vile nikasome nini!
 
mara nyingi ukienda folder option pia unaweza usiyaone..Cha kufanya weka flash kwenye compyute kisha fungua my compyuter ili ujue ipo ktk drive gani...nacchukulia kwangu ni G

sasa nenda START-ALL PROGRAM-ACCESSORIES-COMMAND PROMPT
ikishafunguka type
>>G: halafu INTER
>>dir/ah halafu inter
>>attrib -s -r -h (halafu piga TAB mpalka uone hilo faili unalolitaka kisha bonyeza INTER
rudi kwenye flash utalikuta

Gud. I hope kakuelewa...
pia anaweza malizia mwisho na >>attrib -s -r -h /S /D to process and restore all the files and folders respectively..
 
Command prompt zipi?

Alimaanisha ufate haya maelekezo ya hapo chini yaliyotolewa na Mringo

Back
Top Bottom