Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

natafuta fundi wa lenovo yoga ipad,keyboard imecrack ili anitengenezee au abadilishe
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Happy Valentino Day to you all. Natafuta motherboard ya Star X TV inch 32. Nitaweza kupata kwa bei gani? Asante.
2 Reactions
1 Replies
897 Views
Kwa wasoma vitabu, kutokana na sababu mbalimbali, wengi tunatumia zaidi softcopies badala ya hardcopies. Formats za vitabu zilizotawala ni pdf, ePub na Mobi. Mimi binafsi napendelea ePub au mobi...
14 Reactions
71 Replies
13K Views
Google imeanza kuweka uwezo wa kufuta vitu na watu kwenye picha. Kwa kawaida feature hii inapatikana bure kwa watumiaji wa Google Pixels 6 na Google Pixel 7. Kwa wiki hii Google imeanza kuweka...
1 Reactions
0 Replies
696 Views
wasaaalamu wakuu, Naomba kufahamu, nini chanzo cha kupasuka kwa taa ya ndani kwenye jokofu, na baadae kuanza kupiga shoti kwa ndani na pia haiungurumi tena? Aina ya jokofu: LG(2nd hand) Naomba...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Habarini!! Nimesoma bachelor degree in Electrical Engineering pia nina diploma,pia nina leseni class C Electrical installation natafuta kampuni ya kufanya nae kazi ninaomba msaada wa internship au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nipo napambana usiku na mchana kusimamisha project yangu upande mwingine tayari wote lakini nilihitaji iwepo na wallet so kwa mjuzi ambaye anaweza nisaidia learning source ya transactions&...
0 Reactions
4 Replies
800 Views
Site ni mpya nimenunua domain name kutoka godaddy ndo mara ya kwanza naiweka google search console nakutana na huu ujumbe. Maelekezo ya Youtube nimeyafuatilia lakini hayafanyi kazi naitaji msaada.
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa maelekezo ya kuanzisha, blog kutoka blogspot.com,kuifanya iwe searchable to google search engine, vile vile kuunganisha na tangangazo ya google Adsense Kwa wazoefu mnaweza...
0 Reactions
3 Replies
494 Views
Hii simu iliingia maji tena kidogo tu nikaiwahi na nikafanya vile inavyotakiwa simu ikiingia maji Lakini toka imeingia maji nikiwasha haiwaki, hadi nikichomeka kwenye chaji itawaka na kuonyesha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ijumaa Kareem na Sabato njema! Naomba kufahamishwa location kwa Dar wanaonunua computer mbovu au used! Nina computer mbovu nataka niipunguze!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Flash nmenunua ila kwenye computer inasoma vizuri na ukiweka movies zinaonyesha zimeingia ila ukiitoa kwenye computer halafu ukairudisha tena hazionekani movies yaani inasoma haina kitu kama kuna...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Hii simu iliingia maji tena kidogo tu nikaiwahi na nikafanya vile inavyotakiwa simu ikiingia maji Lakini toka imeingia maji nikiwasha haiwaki, hadi nikichomeka kwenye chaji itawaka na kuonyesha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujuzwa ni Program ipi katika Simu ama Laptop itaweza niongoza kutawala mauzo na matumizi katika duka langu lihali hata nisipo kuwepo? Maana sasa imekuwa taabu,Je wanao miliki maduka...
0 Reactions
4 Replies
690 Views
Wakuu habari za wakati, nimeona niandike title hapo juu ili kusaidiana na kufundishana namna ya kuzirejesha pen drives with no media au corrupted. Shiriki nasi ujuzi wako wa namna unavyotatua...
0 Reactions
1 Replies
580 Views
Wachina kwenye bidhaa wamesaidia sana ila upande wa usomi kama mfanyabiashara wametumaliza japo itakuwa na ubishi kwa wasiojua. Sifanyi biashara ya kuuza simu ila nimeliona kwa wanaofanya...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
Hakika kama utakuwa huna hufahamu wowote ule wa kipengele cha Cosmology basi hutaweza kuelewa chochote kuhusu concept ya time travel nazungumzia ile theory ya kusafiri katika kipindi fulani cha...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanajamvi! Nataka kununua receiver ya mediacom na dish ambayo naweza pata local channels na channel zingine za free to air lkn sasa sijui zinauzwa wapi bei yake kwa dar es salaam na...
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Apple imeongeza 5G support katika maeneo mbalimbali duniani. Tanzania ni moja kati ya maeneo ambayo sasa watumiaji wa iPhone 12 na kuendelea wanaweza kupata mtandao wa 5G. Kwa ripoti nyingi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…