Msaada tutani kwa watumiaji wa Django (python)

antanarivo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2018
Posts
452
Reaction score
886
Wakuu nipo napambana usiku na mchana kusimamisha project yangu upande mwingine tayari wote lakini nilihitaji iwepo na wallet so kwa mjuzi ambaye anaweza nisaidia learning source ya transactions& balance kwa kutumia Django framework

Nimecheki video za freecodecamp pale YouTube sijaona hii kitu pia udemy na Coursera nimecheki labda napata nako nimekosa

Natanguliza shukrani [emoji120]
 
Ngoja waje mkuu
 
Nilikuaga mkali sana wa Django framework.

Nikaenda machimboni Katavi kwa miaka miwili.

Kutoka huko nimesahau kila kitu.
 
Wakuu nipo napambana usiku na mchana kusimamisha project yangu upande mwingine tayari wote lakini nilihitaji iwepo na wallet so kwa mjuzi ambaye anaweza nisaidia learning source ya transactions& balance kwa kutumia Django framework

Nimecheki video za freecodecamp pale YouTube sijaona hii kitu pia udemy na Coursera nimecheki labda napata nako nimekosa

Natanguliza shukrani [emoji120]
mkuu ulifanikiwa hii kitu
 
Back
Top Bottom