Msaada: Simu yangu iliingia maji inawaka tu na kuzima

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Hii simu iliingia maji tena kidogo tu nikaiwahi na nikafanya vile inavyotakiwa simu ikiingia maji

Lakini toka imeingia maji nikiwasha haiwaki, hadi nikichomeka kwenye chaji itawaka na kuonyesha Logo kabisa baada ya muda itajizima then itarudia tena hivyo hivyo kuwaka kuzima tu inawaka hivyo na kuzima kisha inawaka tena na kuzima yaan itafanya hivyo muda wote ukiwa umechomeka chaji Hili tatzo ninini? Sehem gn itakua na shida Jee linaweza kusolvika hili?
 
Acha kusumbuwa watu peleka simu Kwa Fundi.

Simu na maji ni sumu., labda simu zenye bei sawa na gari ndio unaweza hata kuizamisha kwenye maji ukaiacha huko hadi kesho ukiitowa unawasha unatumia, lakini siyo hizi simu hizi za laki mbili, mother body ikishakunywa maji ndio imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom