Msaada wakuu: Simu illiingia maji inawaka tu na kuzima

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Hii simu iliingia maji tena kidogo tu nikaiwahi na nikafanya vile inavyotakiwa simu ikiingia maji

Lakini toka imeingia maji nikiwasha haiwaki, hadi nikichomeka kwenye chaji itawaka na kuonyesha Logo kabisa baada ya muda itajizima then itarudia tena.

Hivyo hivyo kuwaka kuzima tu inawaka hivyo na kuzima kisha inawaka tena na kuzima yaan itafanya hivyo muda wote ukiwa umechomeka chaji Hili tatzo ninini? Sehem gani itakua na shida Je, linaweza kusolvika hili?
 
Baada ya kuingia maji ilichukua muda gani kuizima? au ilizima yenyewe?
Baada ya kuingia maji uliifanya nini
 
Mkuu kosa lako ni kuiwasha na kuchomeka chaji sababu maji ni good conductor ya umeme hivyo unavyofanya hivyo humo ndani ya simu basi kunafom short circuit na ukiendelea itaungua kabisa
 
Sasa wewe simu umeiweka kwenye mchele,umeitoa,umejaribu kuiwasha imegoma kuwaka,nani alikwambia uchomeke charge!!!

Peleka kkoo wakifungue utaambiwa magonjwa ambayo umeipa huko.
 
Back
Top Bottom