GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 614
- 888
wasaaalamu wakuu,
Naomba kufahamu, nini chanzo cha kupasuka kwa taa ya ndani kwenye jokofu, na baadae kuanza kupiga shoti kwa ndani na pia haiungurumi tena?
Aina ya jokofu: LG(2nd hand)
Naomba kuwasilisha wakuu