Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Not getting enough sleep? Turn off the technology By Patricia Reaney Dependence on televisions, cellphones and laptops may be costing Americans dearly -- in lack of sleep. The national...
0 Reactions
1 Replies
961 Views
TBC nitelevisheni yetu ya taifa lakini kuipata kwa kutumia dish siku hizi inasumbua sana kwa haya madish yetu ya kichina yani kupata signal ni ngumu sana tofauti tv zingine za hapa TZ imekuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu Ninatumia blackberry curve, kuna mafile nataka kufungua yanahitahi pdf reader, nimejaribu ku search Nimepata za kulipia na taratibu za kulipa sizijui kabisa, sasa naomba msaada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Technolojia sasa imeshika kasi duniani kwani kila hatua ya maendeleo the technology must get involved kwahiyo ni kitu serious na lazima isimamiwe vyema. Bali cha ajabu hapa kwetu Tanzania failure...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mu hali gani wataalamu? Naomba mnijuze kisayansi ndg zangu iwapo kuna madhara yoyote kiafya kwa kutumia laptop ukiwa umeiweka mapajani huku uki-internate kwa muda mrefu, hasa kwa "IKULU" Hakuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jf naomba msaada wa duka gani nitapata satelite reciever ya aina yeyote ambayo ni MPEG 4 kwa hapa Dsm.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo vp wakuu? ni matumaini yangu kuwa mko na afya njema. Namshukuru sana ndg yangu Zasasule na wengine wameniwezesha kudownload windows 7 Ultimate lakini ina download slow mno hadi inakera...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Jamani naomba msaada kufungua kompyuta yangu inayonidai password wakati wa kufungua. Kompyuta haikuwa na password.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
iDeneb v1.4 10.5.6 Walkthrough Installation This tutorial will give you a walkthrough on an iDeneb v1.4 10.5.6 installation. Older versions of iDeneb are basically exactly the same. Before we...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Jamani wakuu please ninahitaji hii software na pia kama kuna mtu anweza kunifundisha nimlipe au kama kuna chuo kinafundisha please naomba mnisaidie wakuu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa sasa hivi katika jiji la dar es salaam huwezi kupita kilomita 2 bila kukuta mnara wa mawasiliano labda juu ya nyumba za watu haswa magorofa kati kati ya jiji na pembeni kidogo au barabari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello wakuu..natafuta motherbord ya laptop aina ya dell latitude D430, ni notebook.. Kuna circuit imengua ikazima machine na haijawaka tena..msaada plz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari. naombeni msaada wa kutoa setup password kwenye laptop ya dell ili niweze kuedit settings. password iliyopo siifahamu
0 Reactions
18 Replies
12K Views
Jamani naombeni kujua aina ya virus wanaopatikana katika outlook.Swali hilo limenishinda kidogo na nimetafutia majibu yake sikupata.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
URGENT!!! PLEASE CIRCULATE to your friends, family and contacts. In the coming days, DO NOT open any message with an attachment called: BLACK MUSLIM IN THE WHITE HOUSE, regardless of who sent it...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
tafadhali wanaJF, naomba msaada wenu. nime-install Windows 7 Ultimate. Napata message ya kwamba siyo genuine ingawa inaji-update automatically. Nifanyeje? msaada tafadhali. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi ninavyoandika sasa hivi watumiaji wa Mtandao nchini Tanzania ni 676,000 hiyo ni asilimia 1.6 ya idadi ya Raia wote wa Tanzania wakati huo huo watumiaji wa Mtandao jamii maarufu kuliyo yote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapendwa Computer yangu imefanyiwa Instlation hivyo imefutwa kila klitu na sasa nataka kuprint lakini sina CD ya printer ni HP naweza kufanyaje ili niconect computer to printer bila CD ya printer...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu wanaJF naomba msaada wa kuattach picha mbalimbali katika post zangu SIMU yangu ni N79 naomba kuwasilisha kazi njema Asante.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana JF,niliwai kusikia Mtu ana Boot computer kwa kutumia Computer nyingine ? naomba nielekezeni kujua njia inayotumika
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…