Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wataalamu, Niko mbioni kununua simu yenye uwezo mkubwa kwa ajili ya shughuli zangu za kiofisi, katika pita pita nimevutiwa na hizi simu mbili Xiaomi 15T na Samsung A56, Wataalamu hapa...
6 Reactions
51 Replies
2K Views
Vita ya kiuchumi kati ya USA na China inazidi kupamba moto. Baada ya kuweka vikwazo vingi kwenye magari ya umeme (EV) kutoka China, sasa panga limekuja kwenye drones. Federal Communication...
0 Reactions
2 Replies
171 Views
wakuu habari zenu, nauliza hili swali kwasababu kuna mwanafunzi nilimpa cpu nikakuta kaiweka juu ya ndoo badala ya meza ya mbao
2 Reactions
3 Replies
186 Views
Toleo jipya la iPhone 28 Pro na iPhone 18 Pro Max halitakuwa na Dynamic Island na Face ID itakuwa chini ya kioo. Ikumbukwe, Dynamic Island ilianza kutumika kwenye iPhone 14 Pro na kuendelea...
1 Reactions
4 Replies
334 Views
Kipindi nilikua napata mda wa kuwa free nilikua nafanya project ya kutengeneza ecommerce application, mpaka sasa naona imekamilika baada test za hapa na pale https://voxmart.co.tz/
4 Reactions
5 Replies
558 Views
Ram 8 gb SSD 512 Processor Intel(R) Core (TM) 7-1065G7 1.30ghz Bei 750,000 13 inch display Used
1 Reactions
2 Replies
189 Views
Hallo. Hbr wana JF. Natumaini kila mtu atakuwa ashasikia kuhusu CLOUD SERVER, kama vile DropBox, Google cloud etc. Hizi huduma huwa zinapatikana kwa mothly rental fee au bure kwa limited access...
2 Reactions
0 Replies
201 Views
Waungwana nimejaribu kufanya hivyo nimejikuta natumbukia kwenye website ya nsa.go. Je hiyo kitaalamu imekaaje? Kuna uhusiano wowote baina ya hilo neno illuminati na hao jamaa wa national security ag?
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanazengo? Mwezi ulipoita nilichukua simu aina ya Infinix hot 12 play nikawa natumia lakin charge yake nikasahau Mkoa flani na mimi nikaenda mkoa mwingine sasa nikawa naitumia na simu...
6 Reactions
9 Replies
731 Views
Nilinunua wifi adapter zinabagua kuunga wifi, mfano nikiwasha hotspot ya simu inaunga lakini nikitumia touter mifi inakataa kuunga inandika cant connect to this network. Nilitafuta sana...
2 Reactions
6 Replies
585 Views
Utalipwa Dola $200,000 ikiwa utatoa sura na sauti kwa Roboti Kampuni ya kuunda Maroboti toka Russia Prompt imeweza kutoa ofa ya Dola $200,000 kwa mtu Yeyote anayetaka kuchukua sura yake apewe...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Ushindani michezo ya game miaka 80 -99 ulikuwa mgumu kwa kampuni ya sonny. Walichofanya wao katika kifaa chao walitengeneza kwa bei kubwa na kuuza bei ndogo. Kampuni za software za michezo...
1 Reactions
2 Replies
251 Views
Somo la thread linajieleza,natafuta laptop computer zenye uwezo wa kati hasa zile nyembamba zenye screen pana,je ni maduka gani yako reputable kwenye uuzaji wa laptop nzuri,pia na hata bei ziwe...
3 Reactions
21 Replies
709 Views
Tuki entertain upuuzi kama huu, tutaua hata hiki kidogo tulichonacho kwenye tech..... Sijajua kwanini watu wamekua kimya kwenye hiki kitu, lakini ni moja kati ya policy ya kipuuzi kuwahi...
2 Reactions
7 Replies
556 Views
Wenzetu wanazidi kusonga mbele.Usalama wa dubai swala la wizi unaweza kuwa umezibitiwa sana. Sasa wamekuja na ATM ROBOT ambayo itajileta yenyewe na kutoa pesa. 😄 Kibongo itakuwaje ikaitwa...
2 Reactions
4 Replies
278 Views
Nilianza muda si mrefu LAKINI bado nakumbana na kero ya maswali ya WATU , watu wanakuja dm wanaanza kama wateja Kisha ubadili agenda zao na kuanza kuuliza maswali hapa KWENYE attachment , Swali...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Tofauti Kati ya GTX na RTX Kama wewe ni mpenzi wa teknolojia, gamer, au unatafuta laptop yenye uwezo mkubwa, huenda umewahi kuona maneno GTX na RTX kwenye maelezo ya kompyuta. Lakini, je, unajua...
1 Reactions
1 Replies
207 Views
Kampuni ya Jolla imetambulisha simu mpya yenye kutumia Mfumo wa linux inayofadhiliwa na jamii oda ya awali ni Euro €499 mpaka kufikia Euro €599. Jolla ni kampuni ya Teknolojia inajulikana zaidi...
1 Reactions
17 Replies
707 Views
Kama umeshawahi kutumia simu ya iphone ukifungua apps nyingi wakati unatumia simu yako, ukizitaka kuzifunga kwa pamoja haiwezekani kabisa ? Unajua kwanini 🙂. Mtumiaji wa simu ya iphone hawezi...
4 Reactions
7 Replies
515 Views
Wakuu kutokana na kua na simu zisizokuwa bora kwa upande wa kamera. Sasa nimepata wazo la kununua kamera ndogo ya nje. Na katika pitapita zangu nimekutana na moja wapo hio apo chini. Je wakuu...
2 Reactions
9 Replies
576 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…