Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habarini ndugu.... natafuta sehemu ama chuo cha kusoma mambo ya information security hapa tanzania hasa dar es salaam. natanguliza shukrani naombeni msaaada wenu
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wadau Naomba kujua kwa wataalam, hivi kama mtu amebadilisha namba za simu lakini akasajili namba mpya kwa majina yake, ie katumia ID yake naweza nikamtrack kupitia ID namba mfano Nida...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
copy paste fb, ila naisapoti Kuna kitu nataka niweke clear once and for all, Kumekuwa na upotoshaji mzito kwamba Pure Mathematics ya A-Level inamuandaa vema mtu kusomea degree ya IT / CS and the...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau katika kufanya setting za simu nimejikuta nimeikubalia screen reader na matokeo yake simu haifanyi kazi tena, kila unachogusa inatamka maneno ya kile ulichogusa nimejaribu kutafuta namna ya...
0 Reactions
8 Replies
653 Views
Nahtaji PS3 nipo Karagwe, sasa kama kuna mtu anajua zinakopatikana kwa Bukoba, naomba anisaidie kwa hilo.
0 Reactions
12 Replies
865 Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia watu wakitumia telegram na wanakuwa na uwezo wa kufatilia links na channels nyingi ila binafsi nashindwa. Naombeni kueleweshwa hapa. Nawezaje search links au...
3 Reactions
27 Replies
70K Views
Leo kuna Mwanamke nimekutana naye kituo cha daladala kimsingi nikatokea kuvutiwa naye pamoja na udomozege wangu nikasema leo lazima nifunguke bila ya kujali circumstances ambazo ningekutana nazo...
24 Reactions
41 Replies
3K Views
Jameni naomba msaada wapi nawepa pata/ kununua saterite receiver ya Bein kwa hapa Bongo???? ntashukuru kwa msaada wowote utakaonisaidia kutatua shida yangu Asanteni
0 Reactions
3 Replies
462 Views
Habari Hawa mabwana wapika kande leo wamezindua biriani la ngamia ni hatari na nusu alafu kwa nusu bei great job kwao
5 Reactions
60 Replies
4K Views
Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari, nina mpango wa kuanzisha podcast. Naomba ushauri wowote utakaonisaidia kufikia amza yangu hii. Najua nahitaji vitu vya kurekodia, ni vitu gani basic natakiwa kuwa navyo na gharama zake...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani habarini za jioni naomba kujua kama kuna simu kama nilivyoeleza hapo juu. Note: nataka iwe mpya na Android 10 go edition
5 Reactions
30 Replies
7K Views
Mambo vipi wakali wa hizi kazi za SEO. Rejea title hapo juu nimekuwa nikitengeneza makala nyingi kwenye niche mbali mbali lakini imekuwa kipengele kurank #1 position pale google Yaani narank...
0 Reactions
5 Replies
834 Views
SΛMSUNG ni moja kati ya brand kubwa duniani katika uzalishaji na usambazaji wa vifaa vya kielektroniki. SΛMSUNG ilianza kama duka la kuuza mbogamboga na ilianza kwa mtaji mdogo sana, ilikuwa...
8 Reactions
10 Replies
738 Views
Kama bango linavyosema Wajuzi naomba mnifahamishe juu ya hizi simu za xiaomi ambazo ni chinese version, zinasuport huduma za google? Na je zinautofauti gani mkubwa na zile za global version?
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Kitambo sana nimekuwa na maswali juu ya tofauti ya dc (direct current) na ac (alternate current) . 1.Mara nyingi dc ikisafir umbal hata wa mita 10 na waya mdogo haiwez kUwasha hata taa angali ac...
1 Reactions
58 Replies
20K Views
Wadau naomba mwenye uelewa juu ya hii ishu anisaide,najua jinsi ya kudownload subtitle kupitia vlc media lakin nahitaji kuweka iwe ya moja kwa moja yaani ata nikimpa mtu mwingine au nikiangalia...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Pc yangu inaonesha hivi, shida ni nini?
0 Reactions
9 Replies
648 Views
Wakuu namba kuuliza kwa budget ya yangu ya laki6 nakuendelea sumsung sani nzuri toleo jipya Bora kwa kila kitu itanibaa ni sumsung ipi? Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
7 Replies
829 Views
Uandishi ni kazi ngumu na inayochosha, uandishi unahitaji kutafiti, muda, maarifa sahihi na hata rasilimali fedha. Kutokana na sababu hizi wamiliki wengi wa blog au tovuti hujikuta wakinakili...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…