Kuna aina za simu ukiwa unatumia unaweza kukosa vitu vingi

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,059
10,514
Leo kuna Mwanamke nimekutana naye kituo cha daladala kimsingi nikatokea kuvutiwa naye pamoja na udomozege wangu nikasema leo lazima nifunguke bila ya kujali circumstances ambazo ningekutana nazo.

Picha linaanza kwa salamu mrembo karespond vizuri nikaanza zile stori za changomoto za usafiri wa Dar es Salaam naye akachangia kero zake kiukweli zilikuwa ni conversation fupi zilizokuwa na tija.

Ikafika wakati nikaomba namba ya simu ndio hapo nikawakumbuka wote waliowahi kusema kuna simu na calculator.

Mrembo yupo tayari kutoa nambari za simu lakini simu yangu haipo tayari.

Kwanza nilikuwa nimepunguza mwanga wa screen sasa lile jua la saa sita likafanya nisione chochote kwenye display nikawa naotea sehemu ya kuongeza mwanga kwa tabu sana nikafanikisha kuongeza mwanga.

Nikatoa pattern fresh nikatouch calls ili niweze kunakili namba nayo calls inagoma kurespond natouch back naona inafunguka opera mini nikaona simu ishaniumbua ngoja nirudi analog nataka kutafuta pen na karatasi kwenye kibegi ghafla daladala ambayo alikuwa akiisubiri kwa muda mrefu ishafika kituoni akaniambia next time mrembo kapanda zake gari huyo kasepa zake.

Ilikuwa ni heartbreaking moments wakuu, nipo napambana na mimi nimiliki simu mwaka huu.
 
Leo kuna Mwanamke nimekutana naye kituo cha daladala kimsingi nikatokea kuvutiwa naye pamoja na udomozege wangu nikasema leo lazima nifunguke bila ya kujali circumstances ambazo ningekutana nazo.

Picha linaanza kwa salamu mrembo karespond vizuri nikaanza zile stori za changomoto za usafiri wa Dar es salaam naye akachangia kero zake kiukweli zilikuwa ni conversation fupi zilizokuwa na tija.

Ikafika wakati nikaomba namba ya simu ndio hapo nikawakumbuka wote waliowahi kusema kuna simu na calculator.

Mrembo yupo tayari kutoa nambari za simu lakini simu yangu haipo tayari.

Kwanza nilikuwa nimepunguza mwanga wa screen sasa lile jua la saa sita likafanya nisione chochote kwenye display nikawa naotea sehemu ya kuongeza mwanga kwa tabu sana nikafanikisha kuongeza mwanga.

Nikatoa pattern fresh nikatouch calls ili niweze kunakili namba nayo calls inagoma kurespond natouch back naona inafunguka operamini nikaona simu ishaniumbua ngoja nirudi analog nataka kutafuta pen na karatasi kwenye kibegi ghafla daladala ambayo alikuwa akiisubiri kwa muda mrefu ishafika kituoni akaniambia next time mrembo kapanda zake gari huyo kasepa zake.

Ilikuwa ni heartbreaking moments wakuu nipo na pambana na mimi nimiliki simu mwaka huu.
Pole mkuu, ungempa yako mapema na akubeep, kweli domo zege!
 
Unashindwaje kukariri mkuuu
Khaa namba 10 mbona easy sana 🤔. Au vichwa vyetu vinatofautiana 🤣🤣🤣
 
Huwezi elewa ufala wa infinix au tecno mpaka uitumie ijae storage hata 50%,hapo ndipo utaikumbuka 150k yako.

Pole sana mkuu,nadhani hata yeye alishukuru maana kudate na mtu asiyejua umuhimu wa simu nzuri sijui kama angeshawishika unawezaona umuhimu wa mwanamke
 
Sure mkuu ikishaanza notification ya storage space running out ndio time utajua ulikuwa hujui.
 
Back
Top Bottom