Je, ni simu zipi zenye bei chini ya laki mbili na zinasupport otg?

Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
503
500
Jamani habarini za jioni naomba kujua kama kuna simu kama nilivyoeleza hapo juu.

Note: nataka iwe mpya na Android 10 go edition
 
DAVIES KILANGI

Senior Member
Nov 25, 2018
142
225
Jana kuna sister aliniagiza nikamnunulie otg ikaleta ika ikagoma kusoma kusoma kwake ila kwa simu angu ikasoma.simu yake ni tecno pop 2.

Je kuna uwezekano wa kufix hilo tatizo otg ikasoma kwa simu yake au haiwezekani kbs
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,222
2,000
Jana kuna sister aliniagiza nikamnunulie otg ikaleta ika ikagoma kusoma kusoma kwake ila kwa simu angu ikasoma.simu yake ni tecno pop 2.

Je kuna uwezekano wa kufix hilo tatizo otg ikasoma kwa simu yake au haiwezekani kbs
Most of time kama simu haisomi otg ni mpaka uroot, ila sometime simu nyengine haziwezi kabisa, mtengeneza simu anakuwa haja include tech husika.
 
Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
503
500
Jana kuna sister aliniagiza nikamnunulie otg ikaleta ika ikagoma kusoma kusoma kwake ila kwa simu angu ikasoma.simu yake ni tecno pop 2.

Je kuna uwezekano wa kufix hilo tatizo otg ikasoma kwa simu yake au haiwezekani kbs
Mm mwenyewe ilikua hivyohivyo Ila hata nilivyo root bado ikakataa otg ili iweze kusoma lazima iwe ina hardware yake sio matatizo ya software
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom