Screen reader imezua tatizo kubwa, Samsung note 9

Screen reader imezua tatizo kubwa, Samsung note 9

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wadau katika kufanya setting za simu nimejikuta nimeikubalia screen reader na matokeo yake simu haifanyi kazi tena, kila unachogusa inatamka maneno ya kile ulichogusa nimejaribu kutafuta namna ya kujitoa nimeshindwa, nafikiria kupeleka ika flashiwe lkn kuna vitu vyangu vingi vya muhimu, je nifanyeje kuiondoa hii hali?
 
Screen reader ikiwa on kila action ambayo ilikuwa ya ku single tap inafanya kazi kwa ku double tap. So washa simu kama ina password kila number i double tap mpaka ukamilishe password ikishafunguka double tap settings then double tap accessibility then double tap screen reader then toggle to disable voice assistant.

Kama ni TalkBack basi unaweza bonyeza power+volume up kwa pamoja ku disable.
 
Screen reader ikiwa on kila action ambayo ilikuwa ya ku single tap inafanya kazi kwa ku double tap. So washa simu kama ina password kila number i double tap mpaka ukamilishe password ikishafunguka double tap settings then double tap accessibility then double tap screen reader then toggle to disable voice assistant.
Maarifa yote yapo mtandaoni mm sipatagi tabu everything is already discussed.....

Nikupongeze Kwa moyo wako wa UZALENDO kumsaidia Huyu mdau...
 
Mimi nikitaka watoto wasichezee simu ndio huwa naiwezesha hiyo. Huwa naenda mbali zaidi naizima na screen kabisa.

Hapo ni mwendo wa kutumia simu kwa headphone tu coz kioo kinakuwa hakioneshi kitu kabisa ila simu inafanya kazi kama kawa.
 
Hakika Dunia ni kijiji kwa ulimwengu wasasa usijifungie ndani.

Kila kitu kipo kwenye internet, free of charge ni bando lako tu, na simu yako kiganjani kugain something or kusolve something.
 
Back
Top Bottom