Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Msaada tafadhali Nimedownload FIFA 2011 gb 4.5, Football menager g.b 4.3, nikizifungua zinaenda direct kwenye kuburn kwanza.. nimeburn ila CD still hazikubali kuplay kwa mwenye kufahamu hizi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Coz nimejaribu kuitafuta bila mafanikio. mwenye nayo ikiwa working, with key au crack, anipe au anidirect tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wadau wa teknolojia? Naomba mnijuze jinsi taa za barabarani zinavyofanya kazi maana zinanishangaza giza likitokea zinawaka mwanga ukitokea zinazima halafu kila siku na zinatumia umeme au...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hali zenu wandugu. Tatizo langu ni kuhusu iphone4 yangu, nilijaribu kupgrade OS mpya bila kufanya backup kwenye pc, kwa hyo imfuta vitu vyangu muhimu kama number, sms, picha, email nk. Je...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
When I insert a any DVD into my Dvd player I receive a message that states "Windows Media cannot play DVD because a compatible DVD decoder is not installed on your computer" I have Windows XP...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Please refer to the thread "Malipo mishahara dirishani" as a background to this request for ideas and solutions that can be availed to our esteemed government officials in eradicating the ghost...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Msaada wadau mwenye kujua AVCHD Activation Key ya Magix Movie Edit Pro 17 HD Plus, nashindwa kuingiza Video kutoka kwenye Camcorder yangu inayopiga muundo huo wa AVCHD.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani.. Nimetumiwa zawadi ya simu hiyo hapo juu. Tatizo ni kwamba,access ya internet nimepata siku 3 tu za mwanzo kwa laini ya voda,halafu ikagoma.Hata ile alama ya 3G siipati. Nikaweka ya tiGO...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wataalam nsaidieni uzuri na ubaya wake
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakubwa, binafsi ni mgeni kwenye jukwaa hili baada ya kupata utambulisho wa rafiki yangu ambaye ni mchangiaji mzuri wa jukwaa hili(jina kapuni) Sasa leo nakuja na hii tovuti Ughaibuni - Tovuti...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kaka naomba nisaidie hiyo mbinu nieendelee kujichana
0 Reactions
1 Replies
867 Views
Nimenunua modem ya airtel, na nime install.Tatizo linakuja ninapo connect inaniambia "pick up the handset and dial (or ask the operator to dial). Press ok immediately after dialing,then replace...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Time wacher (tiwa 5.11) version hiyo nnatumia lakin nme install admn na client nkizilink zinafanya kazi vizuri cku nzima na admn ina control vizuri client kama wa tano ivi. Sasa tatizo nikizima...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
ebu tazama jamani www.chtentv.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello Friends Today I am going toshare one of the the Most Important Thing With You Guys i.e How tomake your System Almost Unhackable. Today I will Help you tomake Your PC stronger and secured...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba mniambie ubaya na uzuri wa laptop aina ya Sumsung.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mh
How 2 make a status in fb via BlackBerry,iPhone etc
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari wana jamvi, naomba msaada wa ushauri wa kitaalamu kuhusu monitor yangu (sony multscan E400),kwani ghafla imeanza kupoteza rangi na ukiigonga inakaa sawa,yaani inarudi ktk rangi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina picha za mnato nataka kuziweka kwenye slide show je ni soft ware ipi nzuri . Ninmejaribu p dvd maker quality imetoka mbovu nina omba msaada
0 Reactions
1 Replies
787 Views
heshima kwenu wanajamvi, nisaidien wapi nitapata betri ya hp min laptop na ni bei gani? Ahsanten
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…