Natafuta mtaalamu wa kutengeneza tangazo la Biashara kwenye FB na Instagram

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Hello Wana Technology wa kutengeneza tangazo la Biashara kwa kutumia hii mitandao ya kijamii.

Nina bidhaa zangu za HARDWARE ningependa kutangaza.

Kama kuna mtaalamu tuwasiliane please. Ningefurahi sana kama atakuwa ARUSHA ili tuweze kukutana na kuanza hiyo Kazi as soon as possible.

Asanten sana Wana IT.
 
Hello Wana Technology wa kutengeneza tangazo la Biashara kwa kutumia hii mitandao ya kijamii . Nina bidhaa zangu za HARDWARE ningependa kutangaza . Kama kuna mtaalamu tuwasiliane please , Ningefurahi sana kama atakuwa ARUSHA ili tuweze kukutana na kuanza hiyo Kazi as soon as possible.
Asanten sana Wana IT.
Posters or Una maana gani?
 
Nione PM mkuu nipo Arusha ni mtalaam wa vitu hivo
 
Hello Wana Technology wa kutengeneza tangazo la Biashara kwa kutumia hii mitandao ya kijamii.

Nina bidhaa zangu za HARDWARE ningependa kutangaza.

Kama kuna mtaalamu tuwasiliane please. Ningefurahi sana kama atakuwa ARUSHA ili tuweze kukutana na kuanza hiyo Kazi as soon as possible.

Asanten sana Wana IT.
08CA853E-D435-450A-B015-7BC1AF836151.jpeg

Karibu tukuhudumie.🙏🏻
Tunafanya 40K kila tanganzo
 
Back
Top Bottom