Decorder ya DSTV inaweza kutumika kwa startimes bila shida!?

frenderPH

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
619
806
Wadau habari za jioni. Samahanini kwa usumbufu, mwenzenu nimekumbwa na changamoto moja

Nilinunua king'amuzi cha dstv lakini cha ajabu duka niliponunulia waliniomba kwamba makarai(dish) ya dstv yameisha so wanipe la startimes na wakasema kwmba hayana shida kabisa. Sasa kitu kinachonitatiza ni kwamba Kila mda mawingu yakitanda yani kama mvua inataka kunyesha, basi siwezi kuangalia Tv, yani inakua inascratch mpaka kero.

Sasa ngependa kujua hili tatzo linaletwa na dish (karai) au ni hali ya kawaida!? Maana sasa hali niliyofikia nnachoka sana alafu istoshe sahivi tupo katka kipindi cha mvua nyingi sasa napata tabu. Naombeni ushauri wenu tafadhali.
 
Kwa experience yangu ya kutumia dstv na madish mengine kama azam, hili ni tatizo la kawaida maana dish linategemea satelite, mawingu ya kitandana kunakuwa kuna tatizo la mawasiliano kati ya satelite na dish.
Hii ni tofauti na antena tena antena katika hali hii nara nyingine ndipo inatulia.
Hata matangazo ya azam ya antena wanakwambia kabisa haiathiriwi na mvua wakati kwenye tangazo la dish hawasemi hivyo
 
Dish la startimes ni dogo mno hata likikamata signal itakuwa ndogo mno cha msingi nunua dish la dstv au azam maana yenyewe ni makubwa,satellite ya ses5 inayotumiwa na startimes hata uwe na sahani utaikamata tu maana beam yake ipo karibu

kwa lugha nyepesi ni kwamba wamemuibia. maana kapewa dish linalodaka masafa yenye beam ya karibu tofauti na iliyokusudiwa.
 
Dish la startimes ni dogo mno hata likikamata signal itakuwa ndogo mno cha msingi nunua dish la dstv au azam maana yenyewe ni makubwa,satellite ya ses5 inayotumiwa na startimes hata uwe na sahani utaikamata tu maana beam yake ipo karibu
Dio kweli kweli kwa hiki ulichoandika hapa
Beam ya Ses 5, Eutelsat 7 kwa Azam, 36 kwa dstv, 46 kwa Continental n.k wote beam zao zipo wide covered hapa Tanzania vizuri mno, kwa dish la kampuni yyt kati yao unapata dignal zao bila shida, hapa kwangu natumia dish hilo dogo kwa dstv na Stregth ipo 100% Quality 97%
Mshauri atafute fundi aweke signal vzr, aanzie kuuweka sawa mkono unaoshika dish then aweke signal imejaa tele kwa size hio ya dish wala hawajamuibia chochote hapo
Ndugu hata usiwe na shaka
 
Wadau habari za jioni. Samahanini kwa usumbufu, mwenzenu nimekumbwa na changamoto moja

Nilinunua king'amuzi cha dstv lakini cha ajabu duka niliponunulia waliniomba kwamba makarai(dish) ya dstv yameisha so wanipe la startimes na wakasema kwmba hayana shida kabisa. Sasa kitu kinachonitatiza ni kwamba Kila mda mawingu yakitanda yani kama mvua inataka kunyesha, basi siwezi kuangalia Tv, yani inakua inascratch mpaka kero.

Sasa ngependa kujua hili tatzo linaletwa na dish (karai) au ni hali ya kawaida!? Maana sasa hali niliyofikia nnachoka sana alafu istoshe sahivi tupo katka kipindi cha mvua nyingi sasa napata tabu. Naombeni ushauri wenu tafadhali.
Ndugu usiwe na shaka Kitaalam madishi haya madogo Star times,dstv,azam haya kitaalam yako kwenye mfumo wa KU BAND ambapo Huwa signal zake zina athiriwa na sana na mawingu na mvua si kwamba kuna shida ya decoder au dish ni sawa kabisa kufanya hvyo ,kuna mfumo mwingine ambapo uko kwa madish makubwa kama vile free to air dishi zile za decoder za zaman media com ,zile ziko na mfumo wa C Band mfumo ule auathiriwi na mvua wala wingu wala manynyu ile inapasua mawimbi mpka kwenye satelite ndio maana kwenye television Transmittion tunatumia C BAND dishes ku transmit signal kwenye kwenye Satellite( uplink ) bila kuwa na scramble signal ila wale wanao receive kwa kutumia KU BAND hapo katikati between you na Satellite wingu likipita au mvua lazima signal iwe lost au scramble kwa watu mnaopoke signal( downlink)

C-Band ni sehemu ya wigo wa masafa ya redio (radio frequency spectrum) ambayo inatumika katika mawasiliano ya wireless. C-Band inaendelea kutumika kwa ajili ya mawasiliano ya satellite, ikiwa ni pamoja na matangazo ya televisheni, mawasiliano ya simu za mkononi, na huduma za intaneti.

Tafsiri isiyo rasmi ya c band na ku band.
Hapa utaweza nielewa haya madish yote ya AZAM,Star times,DSTV ,Zuku,Nk ni KU BAND ,alafu wale wengi wenye madish makubwa yale ya media com ambao wana pata chanel za bure wengi ni C BAND ndio maana chanel azikati.

C BAND NI NINI??
C-Band hutumia masafa ya kuanzia 4 GHz hadi 8 GHz, na ni muhimu kwa sababu inaweza kusafirisha data kwa umbali mrefu na hufanya kazi vizuri katika hali ya hewa mbaya kama vile mvua.

Matumizi ya C-Band ni pamoja na mawasiliano ya satelaiti, data ya satelaiti, huduma za televisheni, huduma za intaneti, na huduma za simu za mkononi.

KU BAND Ni NINI??
Ku-Band ni sehemu nyingine ya wigo wa masafa ya redio (radio frequency spectrum) ambayo hutumiwa katika mawasiliano ya wireless. Ku-Band inaendelea kutumiwa katika mawasiliano ya satellite, ikiwa ni pamoja na matangazo ya televisheni, mawasiliano ya simu za mkononi, huduma za intaneti, na matumizi mengine ya mawasiliano ya satellite.
Ku-Band inatumia masafa ya kuanzia 12 GHz hadi 18 GHz. Ku-Band ina uwezo wa kusafirisha data kwa kasi kubwa sana na kwa umbali mfupi kuliko C-Band. Hata hivyo, inahitaji utulivu wa hali ya hewa kwa sababu mvua na mawingu yanaweza kupunguza nguvu ya ishara za Ku-Band.

Matumizi ya Ku-Band ni pamoja na mawasiliano ya satelaiti, data ya satelaiti, huduma za televisheni, huduma za intaneti, na huduma za simu za mkononi.
 
Dish la startimes ni dogo mno hata likikamata signal itakuwa ndogo mno cha msingi nunua dish la dstv au azam maana yenyewe ni makubwa,satellite ya ses5 inayotumiwa na startimes hata uwe na sahani utaikamata tu maana beam yake ipo karibu
Nimejifunza kitu,natamani ufungue uzi utoe elimu hii kiundani
Jibu la kiufundi.🤝
 
Ndugu usiwe na shaka Kitaalam madishi haya madogo Star times,dstv,azam haya kitaalam yako kwenye mfumo wa KU BAND ambapo Huwa signal zake zina athiriwa na sana na mawingu na mvua si kwamba kuna shida ya decoder au dish ni sawa kabisa kufanya hvyo ,kuna mfumo mwingine ambapo uko kwa madish makubwa kama vile free to air dishi zile za decoder za zaman media com ,zile ziko na mfumo wa C Band mfumo ule auathiriwi na mvua wala wingu wala manynyu ile inapasua mawimbi mpka kwenye satelite ndio maana kwenye television Transmittion tunatumia C BAND dishes ku transmit signal kwenye kwenye Satellite( uplink ) bila kuwa na scramble signal ila wale wanao receive kwa kutumia KU BAND hapo katikati between you na Satellite wingu likipita au mvua lazima signal iwe lost au scramble kwa watu mnaopoke signal( downlink)

C-Band ni sehemu ya wigo wa masafa ya redio (radio frequency spectrum) ambayo inatumika katika mawasiliano ya wireless. C-Band inaendelea kutumika kwa ajili ya mawasiliano ya satellite, ikiwa ni pamoja na matangazo ya televisheni, mawasiliano ya simu za mkononi, na huduma za intaneti.

Tafsiri isiyo rasmi ya c band na ku band.
Hapa utaweza nielewa haya madish yote ya AZAM,Star times,DSTV ,Zuku,Nk ni KU BAND ,alafu wale wengi wenye madish makubwa yale ya media com ambao wana pata chanel za bure wengi ni C BAND ndio maana chanel azikati.

C BAND NI NINI??
C-Band hutumia masafa ya kuanzia 4 GHz hadi 8 GHz, na ni muhimu kwa sababu inaweza kusafirisha data kwa umbali mrefu na hufanya kazi vizuri katika hali ya hewa mbaya kama vile mvua.

Matumizi ya C-Band ni pamoja na mawasiliano ya satelaiti, data ya satelaiti, huduma za televisheni, huduma za intaneti, na huduma za simu za mkononi.

KU BAND Ni NINI??
Ku-Band ni sehemu nyingine ya wigo wa masafa ya redio (radio frequency spectrum) ambayo hutumiwa katika mawasiliano ya wireless. Ku-Band inaendelea kutumiwa katika mawasiliano ya satellite, ikiwa ni pamoja na matangazo ya televisheni, mawasiliano ya simu za mkononi, huduma za intaneti, na matumizi mengine ya mawasiliano ya satellite.
Ku-Band inatumia masafa ya kuanzia 12 GHz hadi 18 GHz. Ku-Band ina uwezo wa kusafirisha data kwa kasi kubwa sana na kwa umbali mfupi kuliko C-Band. Hata hivyo, inahitaji utulivu wa hali ya hewa kwa sababu mvua na mawingu yanaweza kupunguza nguvu ya ishara za Ku-Band.

Matumizi ya Ku-Band ni pamoja na mawasiliano ya satelaiti, data ya satelaiti, huduma za televisheni, huduma za intaneti, na huduma za simu za mkononi.
So kaka. Madish ya media com yanakuaga na channel kama ngap!?
 
Back
Top Bottom