Tutani jinsi ya ku-reconnect dstv baada ya kuisha airtime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutani jinsi ya ku-reconnect dstv baada ya kuisha airtime

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Capital, Aug 2, 2012.

 1. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,036
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Ndg wanajamvi

  muda nilioulipia dstv umeisha. nimejaribu kulipia huduma kwa tigo pesa lakin hata hivyo, bado huduma haipo, naomba msaada.

  capital
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  inachukuaga muda sometimes..we umesubiri kwa mda gani?
   
 3. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kama malipo yamefanyika kikamilifu subiri dkk 30. Kama bado nenda kwenye simu yako sms andika . Refresh weka namba ya smartcard kisha send kwenda 15727 baada ya dakika chache mambo poa . Kama bado piga simu huduma kwa wateja 0222199600
   
Loading...