msaada wa jina/anuani

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Wapendwa nataka kuanzisha website kwa ajili ya vijana wadogo, kuwapa maelekezo ya malezi mema na shuhuda za watu waliofanikiwa kwa kuchunga tabia zao. Sasa nahitaji kupata jina nitakalotumia kama anuani ya site hiyo.

Pia kama kuna web designer (sio very expensive lakini) tuwasiliane ili anisaidie kutengeneza kwa maana mimi naweka materials tu, sijui kudesign web na bado sijapata host.

Nitashukuru kwa mawazo mazuri ya jina, na nitatoa bakhshish kidogo kwa jina nitakalochagua.

Shukria...............
 
Tanzania youth foundation www.tayofo.org maybe it can help somehow. Kama site imechukuliwa unaanza na labda tabora au dar youth...... Just idea. Goodluck with project.
 
Crucifix wazo limekaa pouwa... what of "Transpire to Inspire" ? unaona imekaaje?
 
Last edited by a moderator:
Kwanini usiite ''www.watotowazuri.org''. unaweza pia kuondoa .org na kuwa co.tz na kuwa ''www.watotowazuri.co.tz''. Hii utadili mpaka watoto wa miaka 17 lakini bado ukaweka na page kwa ajili ya vijana. Naweza pia kukutengenezea hiyo site na kukuhostia kwa mwaka 1 ukiridhika hilo jina nitafute.
 
Nilifikiria na mimi 'mtotomzuri.com/.org) niakkuta tayari yapo. Hebu niPM gharama inakuwaje ili nione kama nitamudu. Asante sana. Nahisi kale ka-bakhshish nilikoahidi katakuja kwako
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom