Azam TV wameondoa channel zao za azam 2 na azam HD online kwa Leo
Hii nadhani n kwaajili ya mechi ya yanga na simba
Ila imetunyima raha sisi tuliokosa TV
Na tulio makazn
Wadau msaada kwa anaeweza kunisaidia kunirudishia acc yangu ya Instagram, nilipoteza namba sasa nikitaka kulog in wanatuma zile code kweny ile namba nilishaipotezaa.
Sent from my SM-A047F using...
Ningependa kufahamu ni wapi hasa nitaweza kupata spare ya Radio Sony MHC-GNZ7D, spare ninayohitaji ni part yote ya mbele ya Radio,kuanzia chini ya cd door mpaka milango ya tape cassette hapo...
Habari za mchana wakuu,
Naomba msaada wadau jinsi ya kuifanya website yangu kuwa bookmark app yaani mtu aki add kwenye homescreen inakua kama app na mtu akifungua inakua full screen kama app...
Katika Android 13, kuna kipengele kipya kinaitwa “Clear Calling”. Kipengele hicho kinawezesha kuchuja na kuondoa kelele ambazo zinasikika kwenye calls.
Mtumiaji wa Android 13 akiiwasha option...
Naomba kujua kwa watumiaji wa Google pixel 7 pro,pamoja na wadau wenye uelewa wa hii simu. Je, nawezaje kuitambua kama ni simu original?
Je Kuna test ambazo naweza kuzifanya kutofautisha copy na...
Habari ya wakati huu wadau wa taknolojia. Nina shida na pixel 3xl yangu, nilikua naitumia Vizuri ghafla ikaniandikia there is no sim card though nimeweka sim card, nikarajibu kutoa Line na kuweka...
Habari zenu wana JF, tumaimai mko vyema. Mie swali ni kuhusu kupokea mzigo, ukiwa umefanya order kutoka Aliexpress kuja Tanzania hasa Zanzibar mzigo unapokelea wapi?
Ahsante
Ninaandika ujumbe huu kwa nia ya kutafuta fursa za ajira katika mambo ya VFX, modeling au architectural design.
Mimi ni mtaalamu mwenye ujuzi katika maeneo haya na ninatafuta sehemu ninayoweza...
Habari wakuu:
Niende moja kwa moja kwenye mada;
Kwa kufahamu kuwa kuna watu wanatamani kujifunza Programming language bahati mbaya hawana kompyuta hivyo inapelekea kukata tamaa na kuishia njiani...
Kutokana na simu yangu Sasa kuzingua technically nataka nirudi kwenye vitochi mpaka uchumi wangu utakavyoamua vinginevyo. mnanishaurije ipi button nzuri ambayo inauwezo wa internet ya kuchungulia...
Wakuu salamu,
Nimejaribu kununua bidhaa Ebay kwa kutumia Paypal nashindwa kabisa kulipia.
Inaleta kitu kama hiki chini.
Lakini siwezi kuproceed na Payment.
Any idea kwa mtu aliyefanya manunuzi...
Naam pesa taslimu Tsh. 300,000/= ipo nahitaji kupata simu used kutoka mtumiaji wa Tanzania achana na hizi used from Dubai.
Leta ofa yako tufanye biashara 🤝🏽
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Mfanyabiashara Elon Musk imetangaza kuweka kiwango cha idadi ya Tweets utakazoona kuanzia leo Julai 1, 2023. Waliolipia 'Twitter Blue' wataweza kusoma hadi Tweets...
Wakuu habarini nmekua interested Sana nakujaribu Jambo fulan online lakin kbla ya yote nmekatishwa tamaa na HIZI online payment method
PAXUM
CHECK
COSMO
CRYPTO CURENCIES
nilikua nataka kufahamu...
Habari za muda huu wadau, kama kichwa kinavyojieleza, nataka kujua iwapo kama kuna namna ya kutumia akaunti moja ya uwakala wa simu mf. Tigo Pesa, M pesa, Airtel Money n.k na kuweza kutumia kwenye...
Naomba msaada wa jinsi ya kuboresha application yangu ya android. Niliiunda kwa uziefu wangu na kuuliza marafiki wenye uzoefu biashara lengwa. Niliifanya iwe na functions muhimu tu kwa mwanzo. Ila...
Vipi unasema umeona Kila kitu kwenye hii Dunia basi nakuambia Kuna maajabu ujawahi kuyaona bhana
Kampuni ya MSCHF imetengeneza begi dogo zaidi ya Punje la Aragwe Yani sio poa [emoji16]
Begi ni...